Search results

  1. Mtoto Wa Mbale

    Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa Tundu Lissu, pole kwa changamoto ulizopitia na hongera kwa kuwa na moyo wa kuendelea kupambana kwa ajili ya HAKI. Maswali yangu: 1. Watanzania wengi ni wakulima, zamani tuliambiwa 80% kwa sasa sijui ni kwa asilimia ngapi. Wengi wa hao wakulima ni wa kujikimu tu na hivyo kulima bila...
  2. Mtoto Wa Mbale

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Safari hii tunataka waache kabisa, inawezekana!
  3. Mtoto Wa Mbale

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Soma kati ya mistari utaona mantiki ya tamko hilo
  4. Mtoto Wa Mbale

    Mawakala wa wakoloni wa wafukuza wazalendo bungeni.

    Watanzania nitawashangaa mkiwarudisha hawa jamaa bungeni kwa wingi wao.
  5. Mtoto Wa Mbale

    Msekwa amvaa Nape

    Msekwa anafanya damage control. Tunajua ndio mchezo wao siku zote, Nape hakuitoa kauli ile kwa bahati mbaya.
  6. Mtoto Wa Mbale

    Nape: NEC wawajibishwe

    Tume ya uchaguzi hii ya Tanzania sio huru! Ingekuwa huru rais asingetangaza tarehe ya kura ya maoni
  7. Mtoto Wa Mbale

    Unajua kwanini JK anapinga Katiba Mpya kuweka ukomo wa Ubunge?

    Mwanae bado mdogo atalazimishwa kutokuwa mbunge akiwa bado kijana sana.
  8. Mtoto Wa Mbale

    Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

    Nashindwa kuelewa ni kwa nini viongozi wa ccm bara wanakosa ujasiri kama wenzao wa Zanzibar kuhusiana na suala la serikali tatu. Wazanzibari wako pamoja, Nahodha alithibitisha hilo kwenye kikao cha chama chao. Hawa wa bara wanaendeleza unafiki tu kujifanya eanapenda sana muungano kumbe...
  9. Mtoto Wa Mbale

    CHADEMA tumeshindwa Vibaya Uchaguzi huu, Tunahitaji tathmini ya kitaalamu…

    Kama nimemuelewa Maranya, nadhani alitaka tuende hatua zaidi ya hiyo ya kulalamikia daftari. Ndio tunafahamu ni tatizo, lakini hatuna uhakika 100% kwamba hao ambao hawajaandikishwa watatupa kura zao. Tunahitaji kuwa selves critical ili tuwe na mipango na mbinu stahiki ili zitumike consistently...
  10. Mtoto Wa Mbale

    CCM haiyumbishwi kwa maneno ya uzushi na kutunga, Kinana yupo yupo sana

    Hivi sakata la Kinana na meno ya tembo linaendeleaje? Samahani, nadhani kwa kuwa unamsemea mambo yake hata hili waweza kunisaidia.
  11. Mtoto Wa Mbale

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Nadhani sio sahihi kushambulia nafsi, personal attack, bali ni vyema kujadili hoja. Naamini zzk kuna jambo keshajifunza hivyo kwa maslahi mapana ya umoja wa chama ni vyema mkaacha kumshambulia yeye binafsi. Ningependa kuona chama na viongozi wake wanajikita katika vita dhidi ya ccm badala ya...
  12. Mtoto Wa Mbale

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Namuamini Zitto katika hili la mabilioni ya uswis, serikali imeona fursa ya Zzk kuwa na mgogoro na chama chake sasa wameamua kuitumia. Ni vyema pia Zzk akajifunza kwamba heshima alizokuwa anapata ni kutokana na Chadema. Hata nguvu ya hoja zake zilitokana na yeye kuwa chadema. Ccm wamemtumia...
  13. Mtoto Wa Mbale

    Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    onday, November 25, 2013 Lwaitama: CCM, CHADEMA na 'Umoja ni Ushindi' Asante ... kwa uchambuzi wenye tafakuri tunduizi. Nitajaribu baadaye kufuata nyazo zako. Lakini kitu kimoja kiko wazi. Chadema kama taasisi imechukua uamuzi sahihi. Kaulimbiu ya CCM ya tangu Aprili 2012 ni eti "Umoja ni...
  14. Mtoto Wa Mbale

    Revealed: Kagame alimwalika JK mkutanoni Rwanda, JK akagoma na kuamua kwenda UK ziarani

    Sio kweli, hilo la ardhi linatumiwa na wanasiasa wa serikali ya ccm kupindisha mjadala. Ukweli ni kwamba viongozi hawa wa serikali ya ccm wameshindwa kwenda na kasi ya kufanya maamuzi. Hawataki kuondoa vikwazo vya biashara na kuboresha miundo mbinu kwa kujenga reli. Hili la reli serikali ya...
  15. Mtoto Wa Mbale

    Video: UGANDA; KENYA;S.SUDAN & RWANDA they call DSM, Tabora, Kigoma unproductive central corridor

    Very cheap narration of the facts. I suggest you go back to the drawing board and analyse economically. We have leaders who are neither visionary nor patriotic here in Tanzania, thats why they have been left behind by our countreparts. Our economy is very unsastainable, we spend a lot of the...
  16. Mtoto Wa Mbale

    Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

    I hate this line of thinking. With this kind of mentality we better stop and do something else. More intelligent Tanzanians will do it for the Nation and the next generation.
  17. Mtoto Wa Mbale

    Kufungiwa magazeti: Wizara ya habari na habari maelezo banned by media houses

    Bahati mbaya sana huwa siwaamini waandishi wa habari na taasisi zao hasa linapokuja suala la kusimamia haki. Wengi wa viongozi wa taasisi zao za masuala ya habari ni vibaraka wa serikali ya ccm. Wengine wanatarajia kuingia katika siasa kupitia ccm. Katika hili muda utaongea.
  18. Mtoto Wa Mbale

    Prof. Maghembe (Mbunge) awafananisha wapiga kura wake na Changudoa!

    Uoke makini na viteto vyako, ambu uu mghenji eogha ethive.
Back
Top Bottom