Search results

  1. fute alexander

    Mfumuko wa bei umeshuka kwenye bidhaa zipi?

    Njia ya mwongo ni fupi, mi nasubiri sukari ya 1800
  2. fute alexander

    Wataalamu wa Physics pitieji hapa mjibu hili swali.

    When a body is totally or partially immersed in fluid it experiences an upthrust equal to the weight of fluid displaced. Hii ndo tumetumia
  3. fute alexander

    Rais Magufuli kumteua Naibu DG wa TISS kuwa Katibu Tawala: Jicho la pili...

    Hapa sterling atakufa movie haijaisha
  4. fute alexander

    Halima Mdee: Rais Magufuli, Serikali yako imechafuka, chutama uweze kujisitiri

    Alipochambua panatosha kwa Leo, well done
  5. fute alexander

    Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

    Nimecheka sana, jamani hamjasikia aliyenitaja maana Nina watoto wachache
  6. fute alexander

    Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Nimekuelewa. Wanawake wengi huanza kuonyesha tabia hizi baada ya kujiridhisha kwamba kamanda umekamatwa Na huna kwa kugeukia. Nahisi hili lipo kwenye huo uhusiano. Penda wastani. Mara nyingi wanapenda kumkomoa mtu kwa kumnyima Huduma hasa hiyo ambayo wao huhisi wamekujeruhi sana kumbe huwa...
  7. fute alexander

    Yupo wapi Muhongo?

    Hivi aliachishwa hata ubunge etii? Maana sijawahi msikia huyu comrade
  8. fute alexander

    Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile akemea udhalilishaji watoto zoezi la RC Makonda

    Hii movie nafananisha Na " the hard way, the only way" pale nigar analiwa Na mamba mguu. Aisee!!
Back
Top Bottom