Search results

  1. J

    Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Ccta kwani huna ndugu zako pia uwashirikishe?
  2. J

    Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Kimo chako na uzito wako naona kama haviendani,utajisababishia magonjwa, BMI yako iko juu means upo na obesity,punguza kula bro[emoji16]
  3. J

    Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Ngoja wakuibie ndo akili ikukae sawa,unawafahamu wa Nigeria wewe.
  4. J

    Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Waziri mkuu wa kwanza Tanganyika alikuwa Nyerere.
  5. J

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kuchana wanatumia sana watu wa Kanda ya ziwa Kutana maeneo ya pwani,yote kwa yote ni maneno sawa.
  6. J

    Kamwe na katu Lema hawezi kupita Ubunge Arusha Mjini chini ya Uongozi wa Makonda

    Ni ajabu mwanaume kumsifia hivi mwanaume mwenzie,kila muda mwamba mwamba,af mbona unamjua sana au wewe ni Mrs Makonda.
  7. J

    Fahamu zaidi kuhusu Afrika

    Mleta thread hii-Nigeria[emoji1184]
  8. J

    Wafanyabiashara wa Tanzania wachekelea baada ya kuzinduliwa njia mpya ya meli kati ya China na Dar es Salaam

    Ongea na muuzaji alieko China,then nenda kwa kampuni ya usafirishaji wao unaweza wapatia pesa wakakununualia huko,kwa sharti la kusafirisha hio machine kwa kampuni yao.
  9. J

    Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

    Sio kwa Tanzania,hatuko serious kwa jambo lolote lile.
  10. J

    Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Mwanaume ni Saba ila mwanamke itakuwa nane,sababu ktk uke Kuna matundu mawili 1) Tundu la mkojo 2) Tundu la uke wenyewe,mahala anakopita mtoto.
  11. J

    Tumsaidie huyu kimawazo

    Huyo binti ni mjinga,huyo baba wa kambo kapata hasara!
  12. J

    Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Sasa ulitaka azae nawewe[emoji16],kumjadili mtu ndo Kuna dhihirisha kuwa wewe ndie mpumbavu,kumjua jua sana mwanaume mwenzio nako pia ni tatizo,Nina mashaka naww kile kiduara sidhani kama kipo salama.
  13. J

    Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Wivu,mnataka msifiwe nyie unakataa pasipo na ushahidi,mwenzio akisifiwa unaumia,hizi ni roho za kike chief.
  14. J

    Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Ukiona pesa haina umuhimu kwako usiitafute kaa tu bila kufanya kazi,uchaguzi ni wako. Maana unaogopa kupata pesa kwamba Kuna magonjwa ya matajiri,hofu vyote hivo wameandikiwa matajiri,dawa ya kisukari ni umasikini,kazi unayo.
  15. J

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Brother hapo ndo mahala unapopata ridhiki yako,usikubali mtu yeyote apachezee kwa namna yeyote ile,ikitokea umeishiwa huyo kijana hutakaa umuone hapo,Kuna watu ni ma agent wa shetani sisemi kuwa dogo ni agent,ila kaa nae kwa umakini watu wengine wanatumika kukuangusha pasipo wao wenyewe kujua...
  16. J

    Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

    Mtu anapambana miaka nenda rudi,anafanikiwa unasema ni madili ya u mayor,hii ni dalili ya wivu but hujui kama ni wivu, sometimes mtu akifanya mambo mazuri mpe pongezi bila vijisababu hutapungukiwa chochote.
  17. J

    Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Jamaa hajaja kubishana,kama hujamuelewa endelea kugida,hajakuzuia.
Back
Top Bottom