Search results

  1. raoka kubanda

    Mkufu wa Shani - Sehemu ya 2

    MKUFU WA SHANI (2) IMETUNGWA NA BEKA MFAUME [The Greatest] ILIPOISHIA Kabla hajateremka kutoka kwenye gari ambalo tayari lilishaegeshwa kwenye maegesho ya nyumbani na mume wake aliyekuwa akiliendesha, Shani akaingiwa na hisia kuwepo na hitilafu shingoni kwake. Hisia hizo zikaenda sambamba na...
  2. raoka kubanda

    Mkufu wa Shani - Sehemu 1

    Na Beka Mfaume [The Greatest] MKUFU WA SHANI Rika lake lilionekana kutozidi miaka arobaini. Alikuwa akiteremka kwa haraka sehemu ya mwisho ya ngazi huku mkono wake ukiwa umekamata kingo ya pembeni ya ngazi hiyo na kuwa mhimili wake...
  3. raoka kubanda

    Beka Mfaume(The greatest himself)

    Ama kwa hakika aliyewahi kuthubutu kusoma kazi za huyu mzee anaweza kusadiki maneno yangu kwamba ni kalamu moja flani hivi yenye utulivu ndani yake..... riwaya kama MWIBA...THE GOD FATHER...TUFANI...DHIHAKA....MARRY MARIAM... na nyingine nyiingi..... napenda kushare na nyinyi hii najua wapo...
  4. raoka kubanda

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
  5. raoka kubanda

    Wenzangu mnafanikiwa kufanya application NACTE?

    Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
  6. raoka kubanda

    Msaada wa kupata joining Instruction Chuo cha Mipango Mwanza

    Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
  7. raoka kubanda

    NAOMBENI MSAADA KATIKA HILI WADAU

    nahitaji msaada kuhusu vyuo vizuri vya serikali vinavyotoa kozi ya secretarial. na je naweza kufanya application kwa mwezi huu au muda bado
  8. raoka kubanda

    WATU WA IT NA WENYE UELEWA KUHUSU COMPUTER NAOMBENI MSAADA KATIKA HILI

    naoma kuuliza kuhusu software iitwayo GSM FLASHER TOOL ufanyaji kazi wake hitaji langu katika program hiyo ni kuflash cmu...
  9. raoka kubanda

    Naombeni msaada kuhusu hili tangazo la RITA

    Nataka kuuliza kwamba kwa waombaji wa mikopo tunaoishi vijijin/maeneo yasiyokuw na huduma za kibenki je kuna namna ya kufanya malipo kwa njia ya simu
  10. raoka kubanda

    Jinsi gani naweza kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160?

    Naomba msaada kuhusu jinsi ya kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160 ili niweze kui apload bodi ya mikopo. Tafadhali naomba nisaidiwe kwa hilo kwa yeyote mwenye uwelewa kuhusu hilo.
  11. raoka kubanda

    Natafuta joining instructions ya Dakawa teachers college

    Jamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku zinaenda sijapigiwa simu....wala mawasiliano ya aina yoyote. Mpaka hivi karibuni nilipoamua kutafuta namba...
Back
Top Bottom