Search results

  1. raoka kubanda

    Hivi Bodi ya Mikopo (HESLB) imekosa Wataalamu wa IT?

    Kuna umuhimu mkubwa sana nchi ikiliangalia kwa jicho la tatu swala la teknolijia. swala la ku upgrade mfumo hata sio swala baya wala swala la kulaumiwa ni jambo jema kabisa humaanisha kukua kwa teknolojia hivyo mifumo haina budi kubadilika pia ili kuendana na mahitaji. Swali langu... Je...
  2. raoka kubanda

    ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    AISEE NAJARIBU TU KUJIULIZA KWA SAUTI KUBWA........ HIVI HUYO BWANA ANNUNAK ALIYEWATUMA NDUGU ZAKE KUTAFITI DHAHABU NA KUZIPATA ZIKIWA DUNIANI NI WAZI KUWA HAKUZIWEKA YEYE WALA HAJUI ZILIKOTOKA RIGHT? KAMA JIBU NI NDIO NAJIULIZA TENA NINANI ALIYEHUSIKA KUIFANYA HII STADI YA HIZO DHAHABU...
  3. raoka kubanda

    Je, kipi cha kuanza nacho kati ya kuomba mkopo na kuomba chuo?

    ufafanuzi kama huu unahitajika sana kwa watu wenye uhitaji.
  4. raoka kubanda

    RITA hutumia muda gani kujibu baada ya ku-apply

    kama ikitokea wamekujibu kwenye kipengele cha comment utakuta ujumbe huu... Habari tafadhali pokea majibu kutoka RITA Jinsi ya kupata verification code( bonyeza birth services- certificate verification kisha bonyeza print yenye rangi nyekundu utaona namba iliyopo juu kulia) Asante.RITA
  5. raoka kubanda

    RITA hutumia muda gani kujibu baada ya ku-apply

    kiukweli sijawahi kubahatika kujua ni kwa muda gani sahihi hawa watu huchukua mpaka kukamilsha taratibu zao. hii ni kutokana na kuwepo na watu ambao hujibiwa ndani ya wiki moja na nusu, wiki mbili mpaka wiki tatu na zaidi. hivyo nikashindwa kutambua muda sahihi wa hii taasisi ni upi.
  6. raoka kubanda

    HESLB naomba mwenye uelewa na hii changamoto

    ni kawaida pale inapotokea system yao inachangamoto ila huchukua si zaidi ya siku moja toka umelipia...
  7. raoka kubanda

    Mkufu wa Shani - Sehemu ya 2

    MKUFU WA SHANI (2) IMETUNGWA NA BEKA MFAUME [The Greatest] ILIPOISHIA Kabla hajateremka kutoka kwenye gari ambalo tayari lilishaegeshwa kwenye maegesho ya nyumbani na mume wake aliyekuwa akiliendesha, Shani akaingiwa na hisia kuwepo na hitilafu shingoni kwake. Hisia hizo zikaenda sambamba na...
  8. raoka kubanda

    Mkufu wa Shani - Sehemu 1

    Na Beka Mfaume [The Greatest] MKUFU WA SHANI Rika lake lilionekana kutozidi miaka arobaini. Alikuwa akiteremka kwa haraka sehemu ya mwisho ya ngazi huku mkono wake ukiwa umekamata kingo ya pembeni ya ngazi hiyo na kuwa mhimili wake...
  9. raoka kubanda

    Beka Mfaume(The greatest himself)

    Ama kwa hakika aliyewahi kuthubutu kusoma kazi za huyu mzee anaweza kusadiki maneno yangu kwamba ni kalamu moja flani hivi yenye utulivu ndani yake..... riwaya kama MWIBA...THE GOD FATHER...TUFANI...DHIHAKA....MARRY MARIAM... na nyingine nyiingi..... napenda kushare na nyinyi hii najua wapo...
  10. raoka kubanda

    RIWAYA: Wivu-Beka Mfaume

    Habari
  11. raoka kubanda

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    nashukur pia lakin hiyo tovuti inahusika na maombi ya ajira za ualimu sio maombi ya kusoma ualimu
  12. raoka kubanda

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
  13. raoka kubanda

    Wenzangu mnafanikiwa kufanya application NACTE?

    Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
  14. raoka kubanda

    Msaada wa kupata joining Instruction Chuo cha Mipango Mwanza

    Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
  15. raoka kubanda

    HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

    teh hatuwezi kupata mawazo mapya bwana kaka kama tutakuwa na utamaduni wa kufikiria kuwa kilichopo ndio ALFA na OMEGA. Dunia isingefika hapa ilipo bwana ndugu.
  16. raoka kubanda

    HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

    ndugu yangu ngoja nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kuutumia muda wako japo kufikiria kitu ambacho ni fact na kina ukweli ndani yake. teh serikali buana
  17. raoka kubanda

    Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Narudia tena changamka kaka .. na ukumbuke inachukua siku kumi kujibiwa ......... duh kweli kasheshe nikazani ni kwa siku tatu imezid sana wiki kama ilivyokuwa mwanzo kumbe 10days kbs inabd niwe mpole
  18. raoka kubanda

    Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

    Mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Sita nahitaji kufanya uhakiki kwa cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo lakini mfumo wa RITA wa mwaka huu umenishinda. Mwaka jana nilifanya kupitia uhakiki Portal. Kama kuna yoyote aliyefanya maombi hayo nakufanikiwa anisaidie tafadhali.
  19. raoka kubanda

    Mwenye tetesi kuhusu batch three

    aisee mimi sijapata kuelewa pahala.............! nimeingia kwenye account na nilichokikuta ni kwamba your not selected in both bach 1 and 2. swali....... sasa kama bach 3 imetoka kwann wakomee kuandika bach 1&2
Back
Top Bottom