Search results

  1. K

    Zitto Kabwe: Njia nane(8) za kuwa Dikteta

    tutafika tu hakuna utawala wa milele
  2. K

    Milioni 50 za kila kijiji zilikuwa usanii?

    kama nyongeza za mishahara ambayo ipo kisheria ni shiiiida ikawe ndio m50 thubutu
  3. K

    Naliona pengo kubwa la Nape na January Makamba ndani ya CCM

    Nape baada ya kuona mambo magumu ndani ya chama kachenji gia hewani
  4. K

    Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Wasitupime mkojo na ss tukiwawasha washa
  5. K

    Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

    Mbona alipo hama CCM ndio ilikua kauli mbiu kwamba cdm wamempokea fisadi??
  6. K

    Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

    Kipindi hicho ilikua inaitwa wizara ya nishati na madini na ndio uchunguzi unafanyika sio ya sasa haya yanayochunguzwa na nahisi ndo kipindi amepitia uwaziri mkuu
  7. K

    Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

    Hajawahi semwa na cdm mwembe yanga tu hata CCM ndio ilikua kiki ya kwanza alipo hama
  8. K

    Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

    Sawa tena kipindi hicho wizara ilikua inaitwa nishati na madini hv kweli asikuwemo kwenye list hii
  9. K

    Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

    Hata alipohamia cdm ufisadi ilikua ndo kauli ya kwanza unapomsema lowassa
  10. K

    Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

    Inawezekana lakin naulizia ya serikali maana huyu mtu alikua wazir mkuu kipindi hicho
Back
Top Bottom