Search results

  1. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    Thanks a lot webmaster for passing by and am happy to realise it has had some influence
  2. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    Nimewaandikia mail nakuwajulisha kuhusu changamoto zote natumai watajiunga katika hii discussion soon. Hope kita eleweka. Lakini pia ukipata mda tembelea hiyo tovuti ujaribu soma baadhi ya maelekezo uenda ukapata idea kidogo
  3. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    Well hizo ni details wameweka Drizzle auction Mart ingawa ni verified sellers.. Uenda walikosea. Tovuti ya auctionmart.co.tz ni kwamba inawezesha watu wote kukutana na kuuza au kununua bidhaa mbali mbali. Wapo wauzaji ambao ni verified na wale wasio kua verified. Kwahiyo unapo nunua inabidi...
  4. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    Well ukishinda unapata notification kwenye mail yako na kufuatana na maelezo kwenye section ya safe trading kama Muuzaji ni Verified Seller utaweza lipa kwa kutumia account yako unayo tengenezewa online au kama siyo verified itabidi uwasiliane nae then muone ni namna gani mta kamilisha biashara yenu
  5. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    Kwenye section ya safe trading naona wameandika kua ukinunua toka kwa verified sellers na bidhaa ikawa siyo utarudishiwa pesa yako lakini kwa wale sellers ambao siyo verified ni vizuri uwasiliane nao kabura ya kulipa
  6. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    well kwa vyovote vile nitaonekana kama mu husika coz nimekua niki ifuatilia kwa karibu na wausika nimekua nikiwasiliana nao nakubadirishana nao mawazo. Ni kweli wamejisajili kama kazitech online na nime proove kupitia tovuti ya brela alafu kuhusu safety na payments wame elezea kwenye link ya...
  7. R

    Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

    Kama nilivyo wa habarisha hapo nyuma kwamba kuna tovuti ya minada niliiona katika harakati zangu za kubofya bofya hapa na pale kwenye mtandao lakini ilikua bado aija anza. Natumai wengi mlitembelea link nakukuta message ya kwamba "4 days left to take on a new look" Leo baada ya siku 4...
  8. R

    Teknologia ya Mawasiliano Tanzania imekua. Minada itaendeshwa online hivi karibuni

    Ndiyo mdau nimejiunga leo ili niwe natoa updates kuhusu maendeleo mapya nitakayo kua nikiyaona kwenye mtandao.. Leo na anza na hili kwani limeni furahisha
  9. R

    Teknologia ya Mawasiliano Tanzania imekua. Minada itaendeshwa online hivi karibuni

    Hivi karibuni mabadiliko mengi ya ki teknologia yamekua yakiendelea hapa nchini. Mimi kama mtumiaji wa intaneti nimekua nikifuatilia maendeleo mbali mbali yanayo fanyika kwenye mtandao yani Internet. Katika harakati zangu za kubovya bovya nimekutana na tovuti ya mnada www.auctionmart.co.tz...
Back
Top Bottom