Search results

  1. J

    Eti Nyie Dada zetu hii nikweli au mnasingiziwa?

    jamani mbona mambo haya siku hizi yamehalalishwa kabisa......nimeanza ofisi mpya nimekuta hapa ofisini mambo haya yameingia level ya wake na waume za watu.....in a way mtu anajulikana kama Mume wa Y na pia ni boyfriend wa X, tena juzi tu imetokea huyo Mume wa Y akawa anamtongoza tena demu...
  2. J

    Uhusiano huu siuelewi naomba msaada tafadhali

    pole sana dada yangu kwa yaliyo kukuta, mi ninavyoona huyo kaka ni tapeli wa mapenzi na hajui anachokitaka.......beta earlier than later, bora usepe mapemaaaaaaa natumaini u-mzuri na utapata mwingine.Mungu atamfundisha tu maana malipo ya kila kitu ni hapa hapa duniani......
  3. J

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    Pole sana ndugu yangu.... mimi nina gri hiyo nimeinunua 2009 mwishoni, mwanzoni ilikuwa inamiss mpaka nilipopeleka kwa fundi mmoja yupo kinondoni karibu na hospitali ya mifupa anaitwa bakari then akanichekia kwenye computer na kubadilisha plugs na vitu vingine na akanishauri nitumie mafuta ya...
  4. J

    .... NMB Kunaniiii...!!!??

    jamani lazima tujue kuwa NMB ni bank kama bank zingine ,ina compete na bank zingine na inahitaji super profit......mimi ni mteja wa NMB kwa muda mrefu na sio mfanya kazi wa serikasi ni mafanyabiashara.ukiwa unafungua akaunt wanakwambia minimum balance ni Tsh 10,000 so sijakuelewa kuwa una...
  5. J

    Naomba msaada kuhusu mitambo ya DOWANS

    Wadau nafikiri tumesikia ya kuwa mitambo ya Dowans imeuzwa kwa kampuni ya kimarekani,sasa swali ninalojiuliza mimi ni kwamba kama Raisi wetu alikana hadharani ya kuwa hawajui wamiliki wa dowans,inakuwaje dowans inauzwa wakati muuzaji hajulikani? Mwanajamii
Back
Top Bottom