Search results

  1. V

    Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

    Thanx kwa kuliona hilo!
  2. V

    Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

    Nakubaliana na mawazo yako ka kiasi kikubwa, but legal procedures haziruhuru kutafuta HAKI yako KWA KUVUNJA HAKI ZA WENGINE.Halafu jambo la pili, mbona CHADEMA hawataki kusema ukweli kuhusu kumtumia LUCY OWENYA kupiga kura Hai wakati jimbo lake ni Moshi mjini?Kama Chatanda alivunja taratibu za...
  3. V

    Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

    elimu ya watu wazima alihudhuria mama yako maana alikuzaa hajui kusoma. You young boy, never ever try to compare my thinking capicity with your foolish idea.You idiot, it's better to keep quet and peope to think that you are foolish, rather than to speak and remove all doubts.
  4. V

    Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

    Sasa naamini kile nilichokuwa nadhania kwa muda mrefu tangu nijiunge na CHADEMA, kuwa chama hiki hakitetei maslahi ya umma, bali kinatumia nguvu ya umma kutetea maslahi ya wachache (viongozi ambao wengi wao ni wachaga).Nashukuru kuwa umetamka mwenyewe kuwa CHADEMA walikuwa wanataka madaraka...
  5. V

    Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

    Sihamii CCM wala CUF. Nitaendelea kubaki CHADEMA, lakini nitasimamia ukweli daima.
  6. V

    Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

    Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu) mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa...
  7. V

    Kohler utatufanya wana wa Arusha tuichukie CHADEMA

    CHADEMA acheni unafiki. Leo ndio mnajua kuna njia za amani? Eboo!! Aibu gani hii. Si nyie ndo mliotushawishi kuwa ni heri kufa tukipigania haki kuliko kufa kwa malaria au typhoid.?Sasa eti leo mnajifanya wapenda amani. Thubutuu! Na mkiendelea hivi chama hiki kitakufa Natural Dealth.
  8. V

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    minyoo itakuua. PUMBAF!! Badala ya kufikiri kwa ubongo unatumia fuvu? Nyang'au wee! Yani kwa akili zako finyu unataka watanzania waache kuangalia uwezo wa mtu, waangalie uchagga? Kichwa nazi kabisa. Mtu kama ana uwezo apewe nafasi, bila kuangalia ni kabila gani.
  9. V

    Nakufa na CCM yangu

    u are right bro. Bt we cn not predict our future if we cn not correct da previous mistakes. Amehadaa watanzania na kutukwamisha sn kimaendeleo. So, tunadiscuss coz still wapo viongozi wetu wanatumikishwa kwny ushirikina.
  10. V

    Nakufa na CCM yangu

    kweli tohara kwa wanawake ni mbaya. Kumbe toka wakukekete umepoteza memory kabisa. Eti Nyerere alikufa na ccm yake, alafu unatoa refference ya mwaka 91. Nani alikuambia nyerere alikufa 91?. Tena inavyoonekana wewe ni mkimbizi, maana hata tarehe muhimu za nchi huzijui. Pole!!
  11. V

    Katuni ya kipanya ya leo kwenye mwananchi nimeipenda sana

    minyoo inamsumbua. Watu wenye Safura, huwa wanakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri!
  12. V

    Nakufa na CCM yangu

    kweli we ni Pompo, meaning Kilaza. Mbona unaonekana kumkubali huyo mchawi?? Au nawe ni kijukuu cha gagula?
  13. V

    Nakufa na CCM yangu

    Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati mgumu. Nilipata wakati maana nilikuwa natumia mbinu za kutisha tisha kwa mfano "ATAKAYEMPINGA JK...
  14. V

    Katuni ya kipanya ya leo kwenye mwananchi nimeipenda sana

    tatizo la watu wenye minyoo kama wewe huwa hamuelewagi hata mpasuliwe vichwa. Nani kasema hataki Chadema ihojiwe? Kuhoji ni haki ya kila mtu, but ni vizuri tukapima hizo Arguments ni Inductive au Deductive. And that is wher discussion of Kipanya's illustration is. Jifunze mambo acha kukurupuka...
  15. V

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Unapotosha
  16. V

    HAWA GHASIA: Jimboni kwako hakuna umeme wala maji, loh!!!!

    huna data. Ondoa thread yako humu!
  17. V

    TBC yasalimu amri kwa CHADEMA

    poor thinking!!
  18. V

    Mpendazoe aanika walioanzisha CCJ

    Mbunge wa zamani wa Kishapu Fredrick Mpendazoe ameibuka na kutaja baadhi ya vigogo wa CCM kuwa eti ndio walioasisi CCJ. Miongoni mwa waliotajwa ni pamoja na Spika wa zamani Samwel Sitta na kasuku wa Sisiem Nnauye. Je madai haya yana ukweli wowote au ni mbinu za mzee huyu kurudi kwenye...
Back
Top Bottom