Habar JF
Kama kichwa cha habari kinavyojifafanua ningependa maelezo juu ya hii course kwa kuangalia vigezo, chuo na ushauri kiujumla
Karibuni waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam wakuu?
Natumaini ni wazima
Naomba mnijuze juu ya kozi hizi
~transport and logistic
~iformation technology
~land evaluation
Katika maswala ya priority ya Mkopo, chuo husika, changamoto husika pamoja na ajira.........!
Natumaini
Kupata maelekezo...
Salaam wakuu?
Naomba kujua mambo muhim ya kizingatia katika kufanya application za chuo juu ya I'll kupata kile ninacho kia apply na kuepuka competition katika coz ninayo hitaji wakuu
Karibuni..........!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.