Search results

  1. N

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Juu ya lenta weka kozi 3. Hapo unapambana na Fundi mwezekazi Vs Mwashi mzembe.
  2. N

    Tunaandaa nyaraka za kusajili kampuni kwa Tshs Laki 1 (Memorandum na Articles of Association)

    Hizi ndo kazi zangu; kuandaa docs husika kusainisha kwa laywer, na kuwasilisha docs Brela na hatimaye kukukabidhi nyaraka za usajili wa kampuni yako. Zingatieni kuna gharama za uchapaji na kurudufu nyaraka, kumtafuta lawyer, ushauri, kuwasilisha usajili na kuthibitisha jina la kampuni. Kazi hii...
  3. N

    Msaada: Jina zuri la shule

    Jina la shule linaweza kukumiza kichwa sana. Ushauri wa KILLANELI ni mzuri. Tafakari! Lakini zingatia kuwa soko la shule limebadilika shule za wasichana tu au wavulana tu tena za bweni kwa sasa zina soko kubwa kuliko coeducational other factors being the same!
  4. N

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    Naona watu hawako realistic! Hizo 20ml zinaweza kutosha au zisitoshe kulingana na mahitaji ya mhusika. Kusema tu nyumba ya vyumba 4 ni maelezo yasiyotosheleza. Jestina sema unataka nyumba ya namna gani achilia idadi ya vyumba. Mfano; Aina ya materials [madirisha hapo kuna aluminum au mbao; hata...
  5. N

    Rasimu ya Katiba Mpya: Jina "Tanzania Bara" Linakera!

    Wana JF natumaini hamjambo. Nategemea JF ni fursa nzuri ya kutoa maoni yetu na kueleza yale tunayodhani ni muhimu kwa mustakhabari wa nchi yetu. Nirejee kwenye Rasimu ya Katiba hapa hatuna haja ya kuwa na jazba wala kuzunguka. Kweli, Tume ya Katiba chini ya Mhe. Jaji Warioba imefanya kazi nzuri...
  6. N

    Soma Hapa Tafadhari,Nakutegemea!!

    Fanya namna hii, tumia hizo laki 3 kama nauli ya kurudia huku na ukifika cha kufanya hakikosi!!!!!!!
  7. N

    Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka: Usifanye kosa la "Kukuingiza kaburini"

    Ukwaju hiyo avatar yako inatisha ka nini!!!!!!!! Nikiiangalia nakosa amani naona kama waliomteka Dr Ulimboka wanafanana na avatar yako hiyo. Du! Mambo mengine bwana siyo!
  8. N

    Yanga imekwiba rambirambi za mafisango tukanyamaza na bado wametuhujumu kwa twite?

    Jamani mbona Yanga wanatuonea hivi? Jamaa wanataka sifa sana. Yaani pamoja na fedha zao, kila siku Yanga wanaona waishi kwa mgongo wetu sisi simba na mbaya zaidi viongozi wetu hawatoi maelezo ya kina! Nakumbuka ni Yanga hawa hawa walituibia fedha za rambi rambi ya marehemu Mutesa Mafisango hadi...
  9. N

    Naomba ushauri wenu nataka kujenga nyumba

    Ulichoita kiwanja kina urefu wa mita 20 na upana wa mita 16!!!!
  10. N

    Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

    Nawaombeni ndg. zangu ni vema tukafahamu kama tuko njia sahihi. Awali nilishauri tusilaumu bali tupange na tuweke mikakati. Nashauri tena twaweza kuanza na kutambuana ni nani na wa wapi (kijiji/kata/wilaya) na unaishi wapi. Baada ya hapo tuweke mikakati ya kikanda/vijiji, kata/wilaya. Hatua hii...
  11. N

    Bei ya cement

    Mmemjibu swali lake la pili la "wapi naweza kupata simenti kwa bei nafuu..." kuwa ni kwa mawakala wa kiwanda cha simenti na mmoja kampa namba ya simu. Safi. Ebu jibuni na swali lake la kwanza "bei ya jumla ya simenti (kwa mawakala ni bei gani)? Pia swali lake lingine ni simenti ya jumla ni...
  12. N

    Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

    "People of the world, unite". Ndg zangu wana Kagera salaam. Nimefurahi kwa michango ya mawazo ni mizuri. Ila nawaombeni hakuna haja ya kulaumu hapa tunatakiwa kuchukua hatua na kuwa na mkakati. Hatua ni pamoja na hii ya kuanza kujadiliana na kuonesha haja au basi umuhimu wa kuwa na mabadiliko...
  13. N

    Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

    people of the world unite!!!
  14. N

    JK Timiza ahadi zako za Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Misenyi na Meli Mkoani Kagera

    Meli ya MV Bukoba ilizama ziwani Victoria tarehe 21 Mei 1996. MV Butihama haijazama ipo. Rekebisha hapo kwani hata mahakamani wewe waweza shindwa kiurahisi kwa kukosea hoja kizembe. Mhe JK akisema hajaahidi kuwaletea meli badala ya MV Butihama utasemaje?
  15. N

    JK Timiza ahadi zako za Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Misenyi na Meli Mkoani Kagera

    Meli ya MV Bukoba ilizama ziwa Victoria tarehe 21 Mei 1996. MV Butihama haijazama ipo. Rekebisha hapo kwani hata mahakamani wewe waweza shindwa kiurahisi kwa kukosea hoja kizembe. Mhe JK akisema hajaahidi kuwaletea meli badala ya MV Butihama utasemaje?
  16. N

    Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

    Hii nyumba itakuwa haijaezekwa! Kwa hesabu hii haitoshi na kimsingi huo ni mchanganuo lakini uhalisia wake ujenzi wa nanma hiyo ni ghali sana yahitaji moyo na yahitaji chanzo cha uhakika. Mi naona kwanza uwepo wa 85ml cash peke yake ni tatizo kwa sababu mjengo huo utajengwa siyo chini ya miezi...
  17. N

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    LATIFAA, Sh. 500,000.00 siyo haba kama una dhamira waweza ujenzi ukizingatia kiwanja unacho. Kama walivyoshauri na ndivyo ilivyo, nami ninakushauri anza ujenzi na enda nao taratibu hatua kwa hatua na utafikia mwisho. Jambo la msingi uwe na lengo na ulisimamie. Kama ukitaka kuanza ujenzi basi...
  18. N

    gari gani....

    Daladala + Taxi + Bajaj + Bodaboda = BP + Diabetes + Cardiovascular Deseases = Untimely Death
  19. N

    Mutungirehi: mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    Dah! Kweli mmenikumbusha mbali hasa juu ya huyu traitor! Nakumbuka siku hiyo, ilikuwa vurugu mtindo mmoja. Mi sikumbuki kilichoniumiza mguuni wakati tunamvuta Mtungirehi baada ya kugoma kuachia kiti kwa usaliti wake. Kweli siku hazigandi, naona hata wewe ndugu yangu Kimbunga umekwisha kuwa Full...
Back
Top Bottom