Search results

  1. Iika

    Viwanja vinauzwa goba mpakani

    Ukubwa mkuu
  2. Iika

    Viwanja vinauzwa Goba mpakani

    Ukubwa ni ngapi kwa ngapi mkuu
  3. Iika

    Cpa examinations result

    Nice results
  4. Iika

    Kwanini unaendelea kupanga nyumba za wenzako wakati unaweza kua na yako?soma hapa tujadiliane

    Nakumbuka wakati naanza chuo nilikua na chaguzi mbili kati ya kukaa nyumbani au hostel ila mwisho niliamua kukaa nyumbani na hela ya boom nikawa naiweka. Hadi namaliza nilikua na viwanja viwili na japo sasa nina kazi ila naamini baada ya miaka michache thamani yake itakua imepanda sana. Ni...
  5. Iika

    Matokeo ya kidato cha sita yanatoka lini?

    Awe mtulivu kwa sasa asiwe na papara na awe tayari kwa lolote
  6. Iika

    Pindi utakapouona mwezi Mtukufu wa RAMADHAN

    Ameen. Allah atufanyie wepesi tuchume yalo mazuri yote
  7. Iika

    Kiwanja Kinapatikana Arusha

    Bei mkuu
  8. Iika

    Kiwanja Kinapatikana Arusha

    Ukubwa wake ni mita ngapi kwa ngapi mkuu
  9. Iika

    Msaada kuhusu kifurushi cha internet 24hrs -tigo

    Jiunge halafu ukishapata text ya kwamba umeunganishwa unatuma ujumbe wa ONDOA kisha unatolewa. Ni vizuri kutuma huo ujumbe ili kuepusha kukatwa endapo hautakua na haja tena ya kujiunga mkuu. Nawasilisha
  10. Iika

    Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

    Mkuu ndo jibu sahihi hilo nenda google utaiona video si 2lishasanuka kitambo
  11. Iika

    Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

    Squares ziko 40 mkuu
  12. Iika

    We jamaa, nakupenda ujue

    Hahahahaha
  13. Iika

    Kiwanja kinauzwa

    Mbona umeguna kiongozi
  14. Iika

    Kiwanja kinauzwa

    Sio kibabe thats a professional way of dealing with business.
  15. Iika

    Kwa nini MAMA mzazi huwa anakataa kuja nyumbani kama HUJAOA?

    Yah sijui kwa nn ila wakati mwngne kulinda heshima. Imagine amekuja halafu unakoromewa na mumeo na yy akiwepo
  16. Iika

    Tra oral interview feedback

    As soon as possible ni yy atakapoona inafaa not necessarily when u thnk it will b appropriate kwa hiyo km ni baada ya mwaka mmoja then baada ya mwaka ndo itakuwa as soon as possible kwa kuwa maamuzi ni juu yake
  17. Iika

    Kiwanja kinauzwa

    Kiko Mbutu Kata ya Somangila Kigamboni Kilomita 26 kutoka feri ukubwa miguu 90 kwa 40. The property was legally acquired through willing seller and buyer. Sihitaji dalali wala bond its Cash non negotiable, non refundable upon exchange of contracts. Price : 8,000,000 (Eight Million) Contact ...
  18. Iika

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Matokeo mara nyingi ni kabla ya kuanza mitihani ya form six. check out
  19. Iika

    Waziri wa ardhi atangaza Kigamboni kuwa mji mpya na wenye serikali yake!

    Kigamboni kumekuwa kizungumkuti sana na hatujui kama huo mji utatoka nje a eneo la mastaplan wengine tushawekeza vijisenti huko ! Tunahitaji muongozo wa kutosha :confused2::confused2::confused2:
  20. Iika

    Kumi bora na Shule mbili

    Unamaanisha nn ? Funguka :confused2::confused2::confused2::confused2:
Back
Top Bottom