Search results

  1. I

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Natafuta Vile Vitambaa vya kurushia TV kwa Projector, vya ukutani. Big screen za senema, umeenielewa? Mnazo?
  2. I

    Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020?

    KWANI KUNA UCHAGUZI GANI 2020, NA NANI WATASHIRIKI???!!! GANI
  3. I

    Will he or won’t he? That’s the question!

    Let CDM thank HIM, He has brought in some maturity to politics. I'm pretty sure also that, CCM has learnt a big threat from Oppostion due to HIM, 2015 Move wasnt that easy! CCM really won the election the hardway. Nevertheless, Since EL has inclined to the current regime, Let CDM advise HIm to...
  4. I

    Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

    Nautafuta ukumbi wa Pugu CHeck Point Siuoni. Naomba Maelekezo anaeufahamu.
  5. I

    PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Tanzania, Tunamhitaji Lissu awe Rais wa Tanzania 2020. Mungu hakika ana Makusudi na Mtu huyu, Watanzania Tumlinde kwa kila hali usiku na Mchana 24/7. Wanaoweza Kumnunulia Armoured Car wafanye hivyo, kama tunataka aishi nasi mpaka 2020, vinginevyo WAPUUZI waliotaka kuutoa Uhai wake...
  6. I

    Tuwe na utaratibu wa kupima afya ya akili kama kigezo cha mtu kupewa au kugombea uongozi hapa nchini

    Hoja Mujara Hoja Mujaraaab Sana hii! Naunga mkono sana tangu zamani. Rafiki yangu daktari wa afya ya akili aliwahi nieleza WATU WENGI HAPA TZ NI VICHAA INGAWA HAWAOKOTI MAKOPO BARABARANI. Kuna degree kadhaa za ukichaaa! Ukiona Mtu anaokota makopo ujue imefikia hatua ya juu! Na dalili zipo za...
  7. I

    Dawa ya kuzuia Mahindi yasioze!

    Asante sana mkuu nimechukua namba.
  8. I

    Dawa ya kuzuia Mahindi yasioze!

    Asante sana, wapi mifuko inapatikana na inaitwaje kitaalamu.
  9. I

    Dawa ya kuzuia Mahindi yasioze!

    Wadau, Nipo Dar, ila nimeamua kununua mahindi mkoani Rukwa kwa minajiri ya kuyatunza na kuuza baadaye wakati wa uhitaji. Maana wakulima wengi huuza mazao yao yote na wakati wa masika huteseka kwa kukosa akiba ya chakula nafaka. Swali langu ni je ipi dawa sahihi, au njia sahihi ya kuyahifadhi...
  10. I

    Chumba cha kaburi alimozikwa Yesu chafukuliwa tena

    Kwangu mimi, Yesu sio ISSA. Bhasiiiiiiiiii.
  11. I

    Ikitokea CHADEMA wakatangaza kuahirisha UKUTA kesho, je watatoa sababu gani? Na je wataeleweka?

    Yaahirishwe tuuu! Kwani dhana ya UKUTA imeshaeleweka na ni wao wenyewe wameicheza ngoma bila kujua! This is called PUBLICITY IN THE MAKING! Akili ndogo haiwezi kuitawala kubwa kamwe! Asante kwa waliosaidia kuutangaza UKUTA bila wao wenyewe kujua wamesaidia kampeni hiyo kueleweka mpaka vijijini...
  12. I

    ADA ELEKEZI!! ADA ELEKEZI!!

    Prof. Ndalichako, lini utatupa ada elekezi SHULE BINAFSI ZA MAMILIONEA??! Maana naona kimya tuuu!! AU HILI JIPU HALITUMBULIKI???!
  13. I

    NEC tusaidieni kujibu hoja za wananchi

    Wana Jamvi, Baada ya kupiga kura mnashauriwa mrudi nyumbani mkasubiri matokeo huko! Hivi si yanabandikiwa Kituoni? Au Tume itapitisha matokeo nyumbani kwa kila mpiga kura?! Na yakiwa tayari kubandikwa kituoni, tajuaje tayari yamebandikwa na Mie sipo hapo Kituoni? Nani hasa alitunga hii sheria...
  14. I

    Marufuku kukaa karibu na vituo vya kupiga Kura, inatakiwa kukaa umbali wa mita 100

    TUME YA UCHAGUZI, Naomba maelekezo, nikipiga kura niende wapi? Milango na Madirisha ya nyumba yangu vinatazamana na kituo cha kupigia kura kiasi cha umbali wa mita 50 hivi..Nikipiga kura nikae nyumbani kwangu au niondoke? Na nimezoea jioni kukaa nje nikibarizi upepo mzuri na kucheza bao na...
  15. I

    Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!, Jana Imefanya Kazi Nzuri Iliyotukuka!

    PASKALI, Bila KARIPIO LA KISHIKAJI kutoka TCRA wasingefanya hayo uliyoyaona. Mbona ulikaa kimya pale Msomaji Magazeti wa TBCssem alipoupotosha UMMA kwa kusoma habari TOFAUTI na zilizochukua UMUHIMU MKUBWA kwenye kurasa za mbele za Magazeti yale??! Au hujaiona hiyo clip ya tbc??! Laiti...
  16. I

    Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

    Asante sana mkuu MEANDU, ukipata wasaaaa mwingine tupia msafara wote toka airpot Izia, Mazwi, chanji mpaka Kizwite. Mafisadi yasiyotubu ZAMBI zao yashuhudie yenyewe, Saaaante Kalesa Mkoooombe!!
  17. I

    Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

    Mkuu Kapitika, Hebu tupia TUPICHA kidogo wa kwetu! Weka hata shamra shamra uwanjani mkombe! Nawajua watu wa swanga hamtarudi nyuma. Hakuna kurudi Misri, kanaaani mpaka kieleweke!
  18. I

    Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

    Hata ingekuwa dakika 5, sema sasa GAMBA!
  19. I

    Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

    Akitoka Namtumbo, ratiba inaonesha anakwenda swanga. Mkutano ni kuanzia saa Kumi jioni, swanga mjini...
Back
Top Bottom