Kalenda ya kiswahili yaani mosi ni 1
Pili ni 2 lkn mwisho ni 5 alhamis nayo ni 6 kwa kihehe labda na ijumaa ni 7 kwa kizaramo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Naomba msaada jinsi ya kurecord incoming call kwenye simu yangu kuna raia ameamua kufungua mazoezi ya matusi najaribu kumuonyesha kuwa mlengwa sio mimi.
Lakini bado anayaporomosha tu nahitaji msaada huo ili niweze kuchukua hatua za kumshitaki japo niwe na ushahidi wa kuanzia
kampuni...
kabla ya kuuzina hivi vimeo tuangalie kwanza TCRA
*#06#
sms kwenda 15090
au tcra website
IMEI Code VerificationHow to verify the IMEI Code of your mobile device
Instructions: Please follow the steps below in order to verify the IMEI Code of your mobile device
Dial *#06# on your mobile...
Enter IMEI Code:
IMEI VERIFICATION RESULTS
IMEI Code :
35...............
Phone Model :
LG LG-D802
Manufactured by :
LG Electronics Inc.
Frequency Bands :
GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), HSDPA, HSUPA, LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD BAND 7...
Enter IMEI Code:
IMEI VERIFICATION RESULTS
IMEI Code :
.......................
Phone Model :
LG LG-D802
Manufactured by :
LG Electronics Inc.
Frequency Bands :
GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), HSDPA, HSUPA, LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD...
Wadau,
Ofisa mtendaji wa Majohe akishilikiana na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Ilala, walikuwa wakiendesha zoezi la ukusanyaji wa kodi za majengo, kwa wakazi wa majohe kwa vipindi vya 2013/2014 na 2014/2015.
Walikuwa wakiwalipisha wakazi wa Majohe kiasi cha kuanzia 65,000 hadi 125,000...
kwa kuto kufikili kwako umetuondolea
mwalimu wetu
mwanajeshi wetu
daktari wetu
mkulima wetu
dereva wetu
hadi malaya wetu hukujua Mwenyezi Mungu alimpangia awe nani hapa duniani umeamua kutoa hapa duniani kwa ajili ya huyo x wako mpuuzi, aah Rip mimba
Wadau, amani iwe kwenu.
Inaonekana ama Kubenea hajui majukumu yake ama anatafuta umaarufu katika mambo ambayo hana uwezo nayo.
Tangu achaguliwe kuwa mbunge, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amekuwa kituko nje na ndani ya bunge. Ndani ya Bunge, Saed Kubenea anaonekana mtu wa jazba, chuki, husda...
kwanza nakushukuru wewe mwalimu kwa waraka wako , ni jambo jema kujivunia kuwa na mwalimu kama wewe maana haya ndio matokeo ya BRN , kwa aina ya waalimu kama wewe ni matarajio yangu kuwa wanangu watapata elimu bora kupitia mwalimu kama wewe,
pia pongezi ziende kwa chuo ulicho somea taaluma hii...
27m+gharama za kuchimba kisima ni kama 5m jumla 32,000,000
kununua maji safi lita 1000 ni tsh 15,000 ambayo lita 1 ni tsh 15
sasa 32,000,000 ni sawa lita 2,133,334 ambazo ni sawa na matumizi ya lita 5,844 kwa siku
ambapo matumizi ya kawaida kwa siku ni lita 1000
je kwa pesa hy nitatumia maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.