Search results

  1. J

    Toyota rav kill time

    Jamani mwenye ujuzi au mafundi wazuri walipo hii gari inanisumbua inazima barabarani, inatoa moshi sana mweusi, inakula mafuta mwenye kaujuzi please
  2. J

    Toyota rav kill time

    Jamani hii gari inanisumbua mbaya, inazima kwenye foleni, inatoa moshi mweusi, inakosa nguvu. Mafundi vimeo kila siku wananilia hela mara plugs mara kusafisha oxygen sensor mwenye ujuzi please
  3. J

    Bei ya VVTI engine

    Wadau natafuta kujua bei ya engine VVTI kwa ajili ya rav 4 iliyofungwa D4. Naomba maoni na bei
  4. J

    Freelance Employment contract

    naomba ufafanuzi kati ya contract for service na Contract of service ni haki zipi kati ya hawa wanazo
  5. J

    Freelance Employment contract

    mkuu hapo juu nimekusoma vizuri thanks
  6. J

    Freelance Employment contract

    Jamani naomba kujuzwa kuwa sheria yetu ya ajira inazungumzia je kuhusu Freelance Contract
  7. J

    Accountant

    mkuu ni Frankfurt Zoological Society
  8. J

    Accountant

    wADAU NAOMBA KUJUZWA NAFASI YA ACCOUNTANT ILIYOTANGWA GUARDIAN YA TAREHE 26 ILIKUWA SERENGETI NATIONAL PARK
  9. J

    Accountant

    wakuu naomba kujuzwa detail ya post ya accountant iliyotangazwa Guardian ya tarehe 26 ilikuwa serengeti national park
  10. J

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    yaani watu kama nyie ndio vimeo kama nini? wabishi kwenye kazi hamfundishiki much know sana! bora kuajiri under graduate ukamuendeleza kuliko kuajiri watu dizaini hiyo!!! Master unatakiwa usome baada ya kufanya kazi at least one year same apply to CPA, ur qualification unatakiwa uombe Managers...
  11. J

    JOB interview ZA BAGAMOYO UNIVERSITY

    kuna haja ya wana jamiii forum kubadilika mtu akiuliza swali nadhani anataka kujua kitu hasa kinachomkera!! na sidhani kama hii nisehemu sahihi ya kafanyiana mdhaha na kejeli tuwe wazi na straightforward kama issue huijui kaa kimya ujifunze kupitia wengine. muuliza swali ameuliza swali nzuri...
  12. J

    nauza kiwanja

    acha jazba biashara matangazo na kujieleza vizuri!! weka bei location ukubwa umbali kutoka main road, je wewe ni dalali au ndio mmiliki? jieleze kama Muuzaji sio "nauza kiwanja" kama unasema naenda kukojoa
  13. J

    AMREF Tanzania

    kaka unaomba scale ya salary hata hujaitwa kwa interview??
  14. J

    Toyota Rav 4 inauzwa

    hio bei si bora niagize yangu Japan!! acha kutuona sie mafala
Back
Top Bottom