Search results

  1. wasaa9

    "Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

    We binafsi hujiamni leo uje kuamini watu engine ..is it coming
  2. wasaa9

    Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Usikilizwe na wewe unajipya gani? Kwa taarifa yako uchaguzi mkuu umekwisha alieshinda ni kama mwanafunzi kumuelewa mwalimu darasani .wanachi wako pamoja na wanawakubali viongoz wao. Wewe nan?
  3. wasaa9

    Kwanini flyover Ubungo haimalizi tatizo la foleni?

    Nini wangefanya ili kumaliza kabisa foleni ...ushauri wako
  4. wasaa9

    Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Kama umekamatika ni sawa kalipe mahari.ila tofauti na hapo umekwisha kijana. Note;vijana tupunguze tamaa kwenye mahusiano mwisho wake mbaya
  5. wasaa9

    INAUZWA Epson l805 na boxer 150

    Picha please ya hiyo boxer
  6. wasaa9

    Nauza viti vya saluni ya kiume

    Ni hivyo viwili oo
  7. wasaa9

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Mkuu kwani.sifa kuwania ubunge ni zipi? Kama mtu ndoto yake siku moja kuwa MP. Kuwa mtumishi wa umma siyo hoja.atatoka huyu aliyemaliza chuo nae atacover naafasi hiyo.wote lengo lao kulijenga taifa.
  8. wasaa9

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Mkuu, ndiyo tayari wameshatia nia .je hadi Leo hii umesiikia kusitishwa mshahara kwa mtumishi yeyote ndani ya nchi yetu Tanzania.
  9. wasaa9

    Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

    Ameleta maada yeye kamaliza.kufikia hadi una comment means maada umeielewa vzuri. Umeeambia ndugai kaomba kwa sababu kongwa hakuna ofisi kubwa na nzuri ya takukuru.lkn mkurugenzi kuomba ofisi ijengwe Chato.huko chato tayari ofisi IPO na ya ni nzuri ya ghorofa...kunakujuana apo?
  10. wasaa9

    Kwa mtindo huu, wagombea wa CCM watashinda kwa kulazimisha matokeo

    Kwan wew kwa matamanio yako .ulitaka apewe nan? Wanasema unaemchukia humjui.
  11. wasaa9

    Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

    Kwan ndugai kuomba ajengewe ofisi kongwa kuna ubaya gani mkuu?
  12. wasaa9

    Uchaguzi 2020 Watanzania wenzangu, Membe amekuja na leso ya kupangusa machozi yetu, tusifanye tena makosa tukajilaumu

    Huna hoja ya msingi.Fanya mjitathimini kwanza na hicho chama chako Tanzania ni nchi ya kwanza Africa mashariki na ya kumi 10 Africa kuwa na wananchi wenye furaha.kwahiyo bas tumeridhika na utawala wa awamu ya tano na tunaenjoy.
  13. wasaa9

    Uchaguzi 2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

    Acha propaganda mkuu.kwani mashart ya kutia nia ubunge au udiwani yanasemaje?.... Hii ndiyo democrasia.MTU kuwa msanii comedian sioni kama kikwazo cha kushindwa kuwatumikia wananchi.mifano IPO hai. Waache wakatie nia.kanuni na taratibu zitafuatwa ili kupata mgombea mwenye dhamira ya kweli...
  14. wasaa9

    Sifa za watu hawa hapa

    Kazi hii umejarbu nakupa30%
Back
Top Bottom