Search results

  1. nentewene

    Tungo: kitumbua Cha asubuhi

    Kitumbua cha asubui, kina raha yake. Watoto wadogo hawajui, kinavyotutoa upweke. Usiombe kikiwekwa tui, utakula usichoke. Ninyime vyote asubui, ila kitumbua ukiweke. Usikifunike baibui, ukafanya nikisake. Kwako wew mie hoi, nipe usinichoke.
  2. nentewene

    Tungo: Acha tamaa za paka

    safii
  3. nentewene

    Tungo: Acha tamaa za paka

    hahaha
  4. nentewene

    Tungo: Ua langu jamani...

    Ua langu limechumwa- bila mimi kujua.. Moyo wangu unauma- natamani kujiua.. Amekosa huruma- ua langu kunyakua.. Hivi nan kamtuma- leo hii naugua.... Ua lilinawairi- kila mtu alidata.. Haikua tena siri- ua lilitakata.. Uzuri wake wamwili- vigogo walimtaka. Utamu wake samsuri- watu wakamteka...
  5. nentewene

    Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

    Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi Jaman nyie mademu, wanaume...
  6. nentewene

    Tungo: Acha tamaa za paka

    kaa kwa kutulia, uipate burudani. acha kuchungulia, hebu ingia ndani. tuliza wako mkia, kua kama mgeni.
  7. nentewene

    Tungo: Acha tamaa za paka

    Dar ni mjini, ila kua makini. usizipende bikini, zitakutia madeni. asuhui upo na queen, usiku zaituni. tuliza wako ukuni, utabaki na amani. ila ukizid kutamani, ishi na sabuni.
  8. nentewene

    Tungo: Leo utahonga laki

    Mh
  9. nentewene

    Tungo: Leo utahonga laki

    Pamoja
  10. nentewene

    Tungo: Leo utahonga laki

    Duuh
  11. nentewene

    Tungo: Leo utahonga laki

    Hahah
  12. nentewene

    Tungo: Leo utahonga laki

    Hahah
  13. nentewene

    Tungo: Leo utahonga laki

    Leo utahonga laki, kesho atataka dola. ukimnunulia mishkaki, atadai na kijora. yani hawasomeki, ni nyingi zao hila. michekupo hawaridhiki, zitaisha zako hela. Utampeleka samakisamaki, ila nyumbani hawajala. Utamkodia pikipiki, ila mkeo daladala utampeleka Denimaki, kama mtoto wa Kajala...
  14. nentewene

    Tungo: Ilikuwa Jumapili

    Vp mkuu
  15. nentewene

    Tungo: Ilikuwa Jumapili

    Pamojaaa
  16. nentewene

    Tungo: Ilikuwa Jumapili

    Daaah
  17. nentewene

    Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    leo utahonga laki, kesho atataka dola. ukimnunulia mishkaki, atadai na kijora. yani hawasomeki, ni nyingi zao hila. michekupo hawaridhiki, zitaisha zako hela. utampeleka samakisamaki, ila nyumbani hawajala. utamkodia pikipiki, ila mkeo daladala utampeleka denimaki, kama mtoto wa kajala. mwisho...
  18. nentewene

    Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    siku ya jumapili, maskani niliketi. kwa macho yangu mawili, nikifanya utafiti. akapita kimwali,tena alikua fiti. alikua pisi kali, rangi yake chokoleti. sifa anastahili, yuko vizuri pale kati. ilikua sinza mori, kumbe anasaka noti. tena wala hajali, tena amejikoki. asofanya ya halali, kwa...
Back
Top Bottom