Search results

  1. Bobdon

    Unautumiaje muda wako mbali na kushinda MMU?

    Habari wakuu wa MMU, Vijana wa MMU mnatumiaje muda wenu mbali na kushinda humu MMU kujadili mambo ya mapenzi? Kuna maisha mengine mbali na kishinda humu wakuu. Haiwezekani 24/7 uko huku unapiga soga tu muda wote hata haufikirii mambo ya msingi. Kama wewe ni mwanafunzi, je huwa unasoma muda...
  2. Bobdon

    Rais wetu mtukufu naomba ubadilishe katiba ya URT ili utawale mpaka utakapochoka mwenyewe.

    Asalam aleykum wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kwamba Rais wetu mtukufu yafaa aendelee kutawala au kuwepo madarakani mpaka atakapochoka yeye mwenyewe kwa sababu ni Rais ambaye ni mzalendo wa nchi yake. Ili tuweze kumfaidi Rais wetu mtukufu kwa uzalendo wake na...
  3. Bobdon

    Nahitaji mkopo ninunue bajaji

    Habari za jioni wakuu. Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kukopeshwa hela ninunue bajaji ili ipige kazi hapa mjini(Dar es salaam).Nitapambana kila mwezi niwe narudisha laki 600,000/-, Hivyo ndani ya mwaka mmoja nitakuwa nimemaliza deni lote. Katika machakato wa kupambana kurejesha...
Back
Top Bottom