Search results

  1. Bobdon

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Hello learned brothers and sisters. Naomba Mwenye kitabu cha CHIPETA CHA CIVIL PROCEDURE anitumie katika e-mail hii joshuaremada3@gmail.com
  2. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Nawaelesha hawa wadogo zetu kuwa kusoma chuo Fulani siyo ndicho kitakupelekea uwe vizuri Bali ni wewe mwenyewe.
  3. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Udsm ya zamani siyo ya sasa mkuu. Kuna vilaza hatari kule. Taja junior Advocate anayewika sasa hivi kama utamkuta aliyesoma udsm.
  4. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Haijawahi kutokea hiyo kitu mkuu. Labda cohort gani walifaulu mpaka watu wakalalamika? Jaribu kufuatilia hali ya wanafunzi wa Udsm kule law school hautanibishia aisee. Nakumbuka cohort ya 23 nilikutana na mwanafunzi wa udsm ni bonge la kilaza maana kuna scenario Fulani nilimpa then...
  5. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Wewe ndiyo utulie na ukae pembeni maana hujui unachokiandika mkuu. Wakiingia hata ishirini kwa intake moja hao ni wengi kulingana na idadi ya chuo walikutoka. Kati ya hao ishirini walioingia wakatoka watano first sitting wengine wakapata sup huwezi kusema wamefaulu hata siku moja. Tunaangalia...
  6. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Soma kitu ambacho kitakusaidia kujiajiri mkuu. Mfano ukisoma law na ukawa wakili muhuri wako ni ajira tosha. Ila human resources management sijui utajiajiri vipi kutokana na ukichokisimea.
  7. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Eti robo tatu pole Sana. Udsm wanaongoza kwa kufeli ulizia utawaambiwa. Huwa wanaingia wengi ila wanaochomoka utakuta ni wacheche sana.
  8. Bobdon

    Ipo siku tutamwelewa na kumhitaji sana Tundu Lissu

    Akili yako ndogo sana rudi shule ukasome upate maarifa. Hujui hata maana ya uhaini. Stupid mind.
  9. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Udsm hawana kitu wanaongoza kwa kufeli wakifika law school of Tanzania.
  10. Bobdon

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Usiende mzumbe maana maprofesa wote wa mzumbe wana elimu fake( hawana vyeti)
  11. Bobdon

    INDIA: Mwanamke Mtanzania akamatwa na gramu 300 za Heroin

    -Kwa sababu ndiyo wenye akili ndogo hivyo ni rahisi sana kudanganyika. -Wanapenda shortcuts sana wanashindwa kuelewa kuwa there are no shortcuts to good life. - Wadada wengi ni waoga wa maisha sana ndiyo maana hata wanapenda kuhongwa sana. Unaweza muuliza MISS CHAGGA.
  12. Bobdon

    Tundu Lissu anasema ukweli ila wengi sisi ni wanafiki

    Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli kamwe. Mtu akisema ukweli anaonekana ni mkos
  13. Bobdon

    Kuna mwanaume anayemsaidia mwanamke bila sababu za kimapenzi?

    Ndiyo maana Edward Lowassa alisisitiza kuwa endapo angepata Urais suala la elimu lingezingatiwa sana. Elimu,elimu, elimu. Rudi shule ukasome.
  14. Bobdon

    Maajabu ya Dunia: Huyu ndio mwanaume mwenye uume mrefu zaidi duniani

    Ulijuaje? Halafu kwanini unaingia kwenye mitandao kuangalia mshine za watu? Lengo lako ni nini hasa? Pia inakuwaje unasifia mashine za wanaume wenzako? Au wewe ni wale wale? Nasubiri majibu.
  15. Bobdon

    Kati ya mabinti kumi unaokutana nao, nane kati yao wamevaa miwani

    Wengi wao unakuta wana mimacho mibaya ile ya kuangalia upande upande kumbe anakuangalia wewe
  16. Bobdon

    Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

    Aisha minyonyo mikubwa
  17. Bobdon

    Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

    Names: Ulosale nyamolya ikebono. Sex : ME Residence: komatolo ghao. Ujumbe: ukitaka kuwa Mkuu wa mkoa ujue kusoma na kuandika tu!
Back
Top Bottom