Search results

  1. M

    Chadema ndani ya military university...!!

    Safi makamanda,picha basi makamanda zetu.
  2. M

    ccm kuandamana tarehe 5 Feb

    Mbwa hawa CCM wanatumia makamasi na makalio kufikiri badala ya ubongo akili wamefungia kabatini,wanajipongeza kwa kuiba mali za watanzania!
  3. M

    Heche,msigwa,sugu,waibomoa ccm kibaha

    Safi sana makamanda,endelezeni mapambano tupo wote pamoja katika mapambano ya kumng'oa mkoloni mweusi CCM madarakani
  4. M

    Chadema ndani ya military university...!!

    Lusinde ni mbunge wa Mbozi Mashariki kwa ticket ya Chadema.
  5. M

    Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

    Safi sana Chadema ni mapambano muda wote mpaka kieleweke.
  6. M

    Ni nafasi ya NCCR badala ya CCM, CDM

    Maralia imekupanda wewe,hiyo Nccr ya mwenyekiti Mbatia kuwadi mkuu wa CCM imkomboe nani?Ukombozi wa Mtanzania ni mtanzania mwenyewe akiamua kujikomboa ataweza kwa kuachana na siasa za maji taka za CCM Pamoja na washiriki wenzake Cuf,NCCR,TLP,UDP!.
  7. M

    MAONO: Uongozi wa TZ baada ya uchaguzi wa 2015 utakuwa hivi;Rais Sita,vice Mbowe,PM Slaa.....

    Huyo Sita hafai kuwa rais mana katika jimbo lake 2 la Urambo mashariki hakuna lolote alilofanya,Urambo ni wilaya maskini kupita kiasi,amekuwa Mbunge kwa vipindi tofauti, mpaka leo ameweza kuwa Mbunge kwa miaka 22 kwanzia mwaka 74 mpaka 95 jimbo likaenda upinzani kwa miaka 5,2000 akachukua...
  8. M

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    Wewe tahira mkubwa unayewaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umefungia kabatini,serikali yako legelege ya CCM ndiyo inayosababisha haya kwa kuwalipa kidogo wataalamu harafu wao wakifisadi kila siku mali za watanzania.
  9. M

    Mgomo wa madaktari, natamani LOWASA wakati huu angekuwa Rais au Waziri Mkuu

    Huyo lowasa wako ni tapeli mkubwa na mwizi wa mali za watanzania.
  10. M

    Maandamano makubwa ya wananchi siku ya jumatatu

    Ningeshauri hizo sms zisambazwe kwa kila mtu ili tuing'oe serikali dhaifu madarakani ya CCM.
  11. M

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Safi sana kamanda maelezo mazuri,hakika tukiendelea na umoja huu,Chadema tutachukua nchi kutoka kwa wanyang'anyi wa mali ghafi za watanzania.
  12. M

    Kikwete tumekukosea nini?

    Kikwete ni mnafiki sana na mswahili sana,mi simpendi kabisa,hana uwezo wa kuongoza nchi.
  13. M

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    Zito ni msaliti mkubwa kwa vijana na chama chake,ni kijana mnafiki sana unaweza dhani mganga wa kienyeji.
  14. M

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    Zito ni msalith mkubwa kwa vijana na chama chake,ni kijana mnafiki sana unaweza dhani mganga wa kienyeji.
  15. M

    Je sheria inasemaje kuhusu wakati gani madaktari wanaweza kugoma?

    Kugoma wanaruhusiwa kwa masaa kadhaa,then wanafanya kazi,harafu wanagoma tena kwa masaa kadhaa kama sita hivi1 serikali hi ya kifisadi ya CCM iache usanii na usharobalo.
  16. M

    JK angani tena

    Waliomchagua huyu bwana Jk na CCM kweli wametuweza na kutukomesha watanzania,maisha yamekuwa magumu sana kila siku.
  17. M

    Uchapakazi wa lowasa ni upi??

    Uchapakazi wake upo kwenye kuwaibia watanzania na kuwadanganya! Hana lolote huyo ni mwizi mkubwa wa Taifa hili.
  18. M

    CHADEMA yavuna 960 kutoka CCM Arusha

    Safi sana mapambano kwenda mbele wao wana pesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU anayetupigania
  19. M

    Mimi simwamini Kikwete na vikao vyake anavyovifanya na Viongozi wa Chadema!

    Kikwete Tapeli sana alitudanganya Kigoma ataifanya kuwa Dubai.
  20. M

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Safi sana madaktari mmegoma endeleeni hivyohivyo mana serikali hi legelege sana ya CCM isiyo jari watu!
Back
Top Bottom