Asante sana. Tafadhali upigie kura sehemu ya Uzi wangu huu kwenye shindano la stories of change kupitia SoC 2022 - Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi wahitimu wa elimu ya juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri
Natanguliza shukran.
Asante sana. Tafadhali upigie kura sehemu ya Uzi wangu huu kwenye shindano la stories of change kupitia SoC 2022 - Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi wahitimu wa elimu ya juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri
Natanguliza shukran.
Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri.
Wahitimu wa elimu ya juu...
Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka tabia ya kulalamika katika jamii ambapo kundi moja hunyoosha vidole na kutupa lawama kwa kundi jingine juu ya utekelezwaji ama ufanisi wa wajibu wake. Kimsingi, Kulalamika ni haki ya raia, na kulalamikiwa ni haki ya kiongozi yeyote yule. Kati ya mambo mengi...
Na; Joseph Malekela, Dar es Salaam, Tanzania - Mei, 2022.
Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka tabia ya kulalamika katika jamii ambapo kundi moja hunyoosha vidole na kutupa lawama kwa kundi jingine juu ya utekelezwaji ama ufanisi wa wajibu wake. Kimsingi, Kulalamika ni haki ya raia, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.