Search results

  1. Evans-Arsenal

    Nina miaka 45 nahitaji kazi yeyote

    Sio za ndani kwa MTU anayehitaji MTU muaminifu nas msiri Ktk kazi zake
  2. Evans-Arsenal

    Youtube live streaming: Ni application gani naweza kutumia kurusha live matukio kwa kutumia simu

    Naomba kujua ni application gani nzuri naweza kutumia katika simu kurusha matukio katika youtube channel yangu, na naomba kujua ni simu nzuri inayoweza kutoa video HD ni yenye uwezo gani ninapokuwa nafanya Live Streaming ya tukio lolote lile? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Evans-Arsenal

    Nimeshakwambia Nakupenda na pia nahitaji kuwa na wewe kama Mpenzi Wangu, Kwanini hautaki Kunielewa!

    Nimeikuta mahali.. "Nimeshakwambia Nakupenda na pia nahitaji kuwa na wewe kama Mpenzi Wangu, Kwanini Hautaki Kunielewa Jamani!!! au ndio mpaka unitese mwenzako siku zote tazama Miezi na Miaka inapita sasa..." Please Please amini ninachokwambia NAKUPENDA SANA na nahitaji uwe MKE wangu na NURU...
  4. Evans-Arsenal

    Mrejesho: In the Battle of Love and Fear, "Fear" always win...

    Nakumbuka maneno ya kjana wangu aliyoniambia tukiwa tumeketi wote katika mgahawa fulani, aliniambia Edson ninakwambia kitu kikubwa sana kitu kilichonitokea jana lakini alianza kwa kusema; "In the Battle of LOVE and FEAR, Fear always wins....." Exaud alisema Nikakaa nikamwangalia kwa mbali...
  5. Evans-Arsenal

    Nawezaje kupata UNLIMITED INTERNET (Bando) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi

    Naomba kujua jinsi ya kupata Unlimited Bando kwa matumizi ya Ofisini, kutoka kwenye kampuni za simu iwe Tigo, TTCL, Voda, Airtel, Halotel etc ila iwe na kasi ya 4G au 3G. Bando liwe ni la mwezi au wiki na naomba na gharama zake kama unafahamu kampuni zinazotoa huduma hii.... THE SNIPER.
  6. Evans-Arsenal

    Nikisema simpendi kabisa huyu mrembo, nitakuwa nadanganya moyo wangu

    Nilivyoachana na msichana wangu wa kwanza Jan 2014, nilitaka niwe free na nisijihusishe na mapenzi tena mpaka pale akili yangu itakapo kaa sawa. Hii ni kwasababu kipindi tunaachana nilipanic sana na may be kwa sababu sikutegemea jambo hilo lingetokea kabsa. Nikajitahidi kumtoa katika fikira...
  7. Evans-Arsenal

    Maisha na maajabu yake, mwenye kiwanda cha SODA na yeye anakunywa BIA etc

    MAISHA NA MAAJABU YAKE[emoji116][emoji116 Usishangae Mmiliki wa kampuni ya Tecno anatumia iPhone [emoji16] Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme [emoji16] Meneja wa kiwanda cha soda anakunywa bia [emoji16] Aliyegundua pesa alikufa na madeni [emoji16] Wachina wanatengeneza dawa...
  8. Evans-Arsenal

    Huyu ndiye "Devorta" msichana mzuri aliyetesa na kuniumiza kwa Muongo mmoja sasa.(1)

    Evarist Evarist!! Evarist!! Sauti iliyoambatana na upepo mkali na uliovuma maeneo ya Mbezi ilisikika toka kwa Mama yangu ikiniita kupokea simu yangu iliyokuwa inaita chumbani. Kuangalia ni namba nje (Tigo) iliyokuwa inaonekana katika screen ya simu, kwa mbali wimbo wa Diamond ndo ulisikika toka...
  9. Evans-Arsenal

    INAUMA SANA: Unayempenda kwa dhati kabsa, anapokuchukulia kama Rafiki yake wa kawaida

    Ninapoandika huu Uzi inawezekana yeye yupo katika hali ya kawaida kabsa lakini ajue ya kwamba kuna mtu ambaye anampenda na anatamani awe Nuru itakayomulika Maisha yake. Kweli huyu mtu nmempenda tena sana na ninatamani one day ndo awe Nuru yangu na karibu yangu, lakini inawezekana Distance ya...
  10. Evans-Arsenal

    Mrejesho: Enemy Killed In Action (Maneno ya mwisho), thanks kwa umma iliofanikisha Jambo hili.

    Ilipita miaka, miezi, wiki, siku na yakabaki masaa machache ya kufanya Jaribio langu la kwanza kwa huyu mtu, na nilitaka kizazi kikumbuke tukio hili la kishujaa nitakalofanya. Nikakumbuka maneno ya mtaalamu "The Bold" aliyoyasema katika simulizi yake moja kali inayotrend @JIntellegence.. "For...
  11. Evans-Arsenal

    FAHAMU: Part Time Jobs zenye Pesa ambazo watu tunashindwa kuzifahamu kwa undani na kukosa taarifa.

    1. Blogs and Websites Moja kati ya vitu vinavyowapa pesa watu katika mitandao ni pamoja na kuanzisha blogs na websites ambazo zitakufanya kutoa Taarifa/Habari mablimbali na watu kuziangalia mara kwa mara. Mtu anayeanza atatakiwa kuwa na mtaji kidogo kama wa Laki2-5 Kwa mfano: kuwa na...
  12. Evans-Arsenal

    Lipumba aaiagiza Kamati ya maadili kumuhoji na kumchunguza Katibu Maalim Seif CUF

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Prof Lipumba ameagiza kamati ya maadili ya chama kumchunguza na ikiwezekana kumuhoji katibu mkuu wa chama cha CUF mheshimiwa Maalim Seif kutokana na mambo anayoyafanya ya kwenda tofauti na chama chao. Pia Prof Lipumba amewataka wabunge wote wa CUF kuungana...
  13. Evans-Arsenal

    Mbunge Haonga: Miradi na maendeleo majimbo ya Upinzani ni lazima sio Hisani

    Mbunge wa jimbo la Mbozi Mbeya, mheshimiwa Pascal Haonga (CHADEMA-Chama cha Demokrasia na Maendeleo) amesema kwamba miradi inayopangwa kwa ajili ya maendeleo katika majimbo yote nchini hasa ya upinzani sio jambo la Hisani ni jambo la lazima na hivyo serikali inapaswa kupeleka maendeleo katika...
  14. Evans-Arsenal

    Hakielimu ni wakati sasa wa kutoa tamko, bado mpo na Msimamo wenu au bado mnampinga Rais Magufuli.

    Hakielimu bado walikuwa na masimamo wao wa kuishauri serikali kupanga njia bora ya kumsaidia mwanafunzi wa kike pindi anapojifungua ili aendelee na shule kama kawaida lakini hili tangazo lao zinalosambaa sasa walilitoa lini?ambalo walitaka wanafunzi wa kike wajawazito wasaidie kuendelea kusoma...
  15. Evans-Arsenal

    Wauaji Kibiti watoa Ujumbe kuendeleza mapambano na wadhulumaji, wasema watu waendelee kutoa taarifa

    Siku mbili tangu kuuawa kwa polisi wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao walikuwa kazini katika Kijiji cha Bungu B, hali ya wasiwasi imezidi baada ya wauaji hao kusambaza ujumbe unaoeleza kuwa wanaendelea kusaka askari kwa kuwa ni wadhurumaji. Watu hao wametuma ujumbe mfupi uliondikwa...
  16. Evans-Arsenal

    LHRC: katiba mpya inahitajika, RICHMOND, Riporti ya LUGUMI na ESCROW zirudishwe tena bungeni

    Kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema kwamba kinalidhishwa na utendaji kazi wa Rais Magufuli na kumpongeza jwa kazi yake nzuri. Pia wamempongeza Rais kwa ishu ya makinikia na kutaka siasa isiingingwe katika majadiliano na Acacia. Wamekumbushia riporti ya LUGUMI kupelekwa tena bungeni na...
  17. Evans-Arsenal

    Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

    Picha alizoweka msanii Wema Sepetu zimekuwa gumzo mtandaoni Instagram baada ya kuzipost katika Account yake. Sema dah nimeangalia hizi picha kama 6 au zaidi na nimemuelewa huyu kada wa CHADEMA. Duh hatari sana.
  18. Evans-Arsenal

    Mlela: Ney wa Mitego ni mdogo wangu, na sina bifu naye tena

    Mwigizaji wa bongo Movie, Yusuph mlela ameendelea kusisitiza kwamba hana bifu lolote na mwimbaji Ney wa Mitego na kwamba aliamua kumchana kipindi kile kwa sababu aliingilia kazi zao bongo muvi. Sisi tuliandamana ili kuweka maslahi sawa na wengine lakini yeye akaanza kuongea mambo yake yasiyo na...
  19. Evans-Arsenal

    Meya wa Ubungo baada ya kutoka selo amesema yupo huru na hana mashitaka yoyote

    Akiongea na waandishi wa habari Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniphace Jacob amesema kwamba ameachiwa huru kabisa bila masharti yoyote na kwamba alivyokamatwa ilikuwa ni siasa tu. Nilikamatwa na polisi baada ya viongozi mbalimbali toka chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kunitembelea...
  20. Evans-Arsenal

    Mnyika baada ya kufungiwa vikao 8 bungeni, awakalia kooni Mapolisi na posho zao kutokuongezwa

    Mbunge wa jimbo la Kibamba, Mheshimiwa John Mnyika amesema kwamba kwa pamoja na kutolewa bunheni na maaskari lakini wanatakiwa kujua kuhusu ukweli wa posho zao. Mnyika amesema kwamba posho za askari zilizopitishwa kwenye Bunge ni laki1.5 (150,000) lakini mpaka leo polisi wanalipwa laki1 tu pekee...
Back
Top Bottom