Search results

  1. M

    Kuna mipango ya kupunguza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni Kuanzia wa majimbo hadi wa viti maalumu

    Tuandamane na yote mabaya ya serikali na ccm yao yajulikane!!!!_Tumechoka kusikia watoto wetu na nduguzetu wanauawa ama kuteswa!
  2. M

    Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

    Bongo movie hiyo!!!!!!! I wish there was an Angel to take away social media. Bahati mbaya over 20 million peple Tz wana whatsup!!!! Lol!
  3. M

    Wanasiasa Tusivuruge Amani !

    Maandamano ya amani sana yatakuwepo kila mkoa kila kijiji kila kitongoji kila jiji. Tuone kaw watawaua wote. Hapo tutajua nanianachezea amani ya nchi hii.Ni watawala ama nyama mbadala. Kuanzia leo sitasema upinzani.
  4. M

    Kakonko: Diwani CHADEMA afunguka Polepole alivyomtumia watu kumshawishi kujiunga na CCM

    Kama maprofesa wanaweza kunyamazia upuuzi na kubakia kusifia kwa ajili ya mishahara na kama Polepole anaweza kununua watu pamoja na elimu yake na ethics anazojidai nazo unategemeaje madiwani wasio na mishahara waziache hizo pesa. Hata chadema wangekuwa na pesa na ujinga huo wa ccm wangeweza pia...
  5. M

    Uhuru, Raila wameweza, sisi tunashindwa nini?

    Wale wameendelea. Sisi tumerudi nyuma miaka 50 kama alivyosema Ulimwengu!
  6. M

    DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Hata mimi nimeshangaa. Miaka hii tunalipa kodi kwa ajili ya chattle tu ama vipi?????
  7. M

    Kuhusu kilio cha demokrasia kuminywa , Lema njoo ujifunze siri

    Kuna tofauti kati ya heshima na kuabudu. Wakina Bashite na Mnyeti wanataka watu wote wabatizwe ccm hata ambao hatuna vyama kama mimi na wote tuimbe ndiyo ndiyo hata wakinunua watu ama kuiba kura eti kwa kuwa hiyo ni chama tawala.
  8. M

    Kuhusu kilio cha demokrasia kuminywa , Lema njoo ujifunze siri

    To respond to this is an insult to me because we have more rude gov leaders than wapinzani. I would wish all gov leaders were as intelligent as Samia Suluhu and a few others. Many of them are shitholes!
  9. M

    Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

    Mada nzuri sana ila average and underaverage people hawawezi kujadili hiyo.
  10. M

    Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Kwa nino serikali haikemei mauaji?
  11. M

    Laiti watanzania wangejua ya Ikulu wangewapiga mawe

    Musiba mwingine? Kwa hiyo unataka tuwe china. Kwa nini tuwe Wachina? Wale wana shida ya population. Sisi tuna shida gani? Go to hell!
  12. M

    Brussels Belgium: Mbunge Tundu Lissu akifanya mazoezi

    Mungu endelea kumlinda mja wako. The only cleanchap in this nation. Get well Lissu.
  13. M

    Shajara ya mhunzi: Tusifukue makaburi ya zamani huku tukisakafia mapya

    Hapa wengi tumetoka kapa ama na mawili tu hivi. Hongereni!
  14. M

    To be honest, kwa hili Rais ataipeleka nchi kusikojulikana. Sera ya viwanda inayeyuka!

    Kama viongozi ni kina Bashite, mnyeti etc etc unategemea nini?
  15. M

    To be honest, kwa hili Rais ataipeleka nchi kusikojulikana. Sera ya viwanda inayeyuka!

    Nadhani wengi tunaunga mkono hoja ila wale wanaotetea matumbo yao tu na si taifa.
Back
Top Bottom