Search results

  1. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Yes mkuu,ukiwa na private car ni safi zaidi,unaweza tembelea na familia au marafiki,ingilia Botswana thr kazungula OSBP,lala pale Kasane na ujionee tembo/swala/warthog mitaani (relax wana corridors zao na elewa in Botswana animals ana right of the way),next drive to Nata ,kata kulia pale nenda...
  2. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea kama Man utd,unaweza kupata heart attack kwa kuangalia game zao
  3. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Tena bila hata ya kutegemea serikali kuu,wilaya itabakiwa na mbunge mmoja tu(sio 3),mbunge huyu atapewa ziara ya kuitangaza wilaya hii ujerumani na Switzerland 🇨🇭,kitu cha kwanza ni kuitengeneza ile pass kwa juhudi za wananchi na kuongea na jiji la Capetown wapeleke wataalamu wa kujenga hizi...
  4. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Ujinga sio tusi wala upumbavu pia (pitia kamusi ya kiswahili),nimekuelewa na sasa utakubaliana Nami kuwa mbunge mtarajiwa anapoahidi kuwa atajenga ile pass ya mombo to mlalo ikiwa atapewa kura kuwa huu ni uongo?,na ubunge wake unaweza kuwa batili maana ametumia mbinu za uongo kupata kura,mkuu...
  5. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Tuache blah blah mkuu,tuongee facts hapa,mbunge anapofanya kampeni za kuwa mbunge na kuahidi atajenga zahanati hapo Mlalo,means anaongopa!na mtu mwongo ni zaidi ya shetani,mkuu labda nikupe historia ndogo,ukitembelea Magomeni na kinondoni A kuna nyumba zilijengwa kwa sheria za mipango miji chini...
  6. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Ni shida mkuu,na barabara hiyo kuanzia kazungula OSBP hadi Nata ni national park (more than 300km)hukuti matuta ya ajabu,kwetu pale mikumi national park (50km ni vurugu tupu na kwa sasa magari kibao yanapata pacha kwenye like handaki)siku V8 ya wateule itakapoumia pale ndio watakurupuka kuitengeneza
  7. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Mkuu tembelea Namibia 🇳🇦 na Botswana 🇧🇼 kupo super,A3 yao ni super pamoja kuwa inapita kwenye national park (more than 300km za mbugani tu),pale mikumi national park (50km kuna matuta yasiyopungua 40!!na wanaopita pale hasa usiku pls guys kuwa careful,kuna handaki pale linaumiza magari kila siku...
  8. N

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland 🇨🇭 ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass...
  9. N

    Bonde la Mkwajuni lafurika maji

    Una mimba ya Chadema ?pitia huku lingusenguse nikupatie ulanzi ,hii sio rocket science,mafuriko ya bonde la mkwajuni limesababishwa na serikali ya ccm kuruhusu royal families kujenga kule mikokoni ni kuingilia uasili wa mkondo wa maji kwa mto wa msimbazi
  10. N

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Na muhimu elewa my kamanda kuwa ni haki yangu kupewa crime statistics za mkoa wangu kila baada ya 90 day's na hajawahi kufanya hili,siku upepo ukibadilika mahakama itakuhusu
  11. N

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Blah blah tu hii,Mr. Muliro unaweza pia ukaileta Doctor report kwa public kuhusiana na kifo hiki?,postmortem pathology report?,na pia mortuary ya kilwa rd (iliyochini ya police)na why sip ya muhimbili hospital?,ipo siku ukweli utakuja kusimama na kila mtu ana siku yake ya kuonana na maker...
  12. N

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Mihuri inayo gangway na serikali za mitaa ni kwa ajili gani?why ukagongewe mhuri kule?kwani ID yako ipo wapi?mahitaji yote unayo yahitaji unatakiwa uwe na ID basi,elewa ID ndio maisha yako
  13. N

    Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

    Mtoa hoja tafuta fedha,nani kakupa wewe haki ya kuhukumu?,mtu tako lake kapewa na muumba wake,anavyolitumia ni haki yake!,una uhakika wewe ni straight?
  14. N

    DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Yes push back,wananchi kudos kwao
  15. N

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

    Wanaheshimu sheria zao,huwezi kumtaja jina mpaka apande kwa court,elewa bado ni suspect,haki zake bado zipo intact,Ile nchi ya kufikirika majina yao yangetangazwa kabla ya kupanda kizimbani!huu ni upumbavu
  16. N

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Naunga mkono hoja,nchi inahitaji TAASISI IMARA ZENYE KUJITEGEMEA,tuachane na mihemko ya wanasiasa
  17. N

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Pumbavu wewe,Nkanini ni wa push back sio Lia lia kama wewe
  18. N

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Fair enough ungeazia na real owners wa UDA na Nyati cross borders transporters,na pia lile hekalu pale msoga,yule mpangaji mkuu alilijenga kwa mapato yake halali au kodi yangu ilikua pitched,Tanzania lazima iendeshwe kisheria,ulivyoelezea hapo juu ndio Serikali ya ccm inavyofanya,tayari hukumu...
  19. N

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Wewe ni pumbavu mkubwa,soma comment kwanza ili uielewe,DPP atapeleka mashitaka gani mahakamani bila ya police kuchunguza na yeye DPP ku apply mind ili kuona ana winnable case?,tatizo la nchi hii imejaa wapumbavu wengi kama wewe ambaye umeshaona ni sawa kuishi ndani ya draconian rules
Back
Top Bottom