Search results

  1. T

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Si mliruhusu kwa mikataba mliyofunga? Tuliruhusu kuibiwa. Sema ndiooooooo...
  2. T

    TLS chini ya Lissu kama kweli wanaitakia mema Tanzania waungane kuzima wizi wa Acacia

    Sina uhakika kama Mh. Lissu anaweza badilisha msimamo wa ccm wa ndioooooo ipiteeeeee....
  3. T

    Chenge,Werema: Tume imedanganya kiasi kilichopo kwenye mchanga, wajivua lawama

    Unashangaa nini. Ccm si ndiyo wamempa Uenyekiti wa Bunge? Kuna kum support zaidi ya hapo? Kuna kumuamini zaidi ya kumpa uongozi wa juu katika chombo cha kutunga sheria, kuishauri na kuisimamia serikali? Tutarajie nini.
  4. T

    ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

    Nakupongeza kwa kuyajua mambo ya wazungu in and out. Ulikuwa wapi kuishauri serikali yako tangu matatizo haya yaanze au ndiyo umejua baada ya tume ya rais.
  5. T

    Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Isije ikawa hawa maprofessor wakawa kama kocha wa sasa wa Man City. Wanajua kufundisha mpira ila hawajui kucheza!!!
  6. T

    ARUSHA: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini bado wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Ulevi wa madaraka. Mwisho wa walevi wa madaraka unajulikana.
  7. T

    ARUSHA: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini bado wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Ulevi wa madaraka. Mwisho wa walevi wa madaraka unajulikana.
  8. T

    Gambo, kama ni mkusanyiko usio halali mbona wafiwa umewaacha?

    Sikujua kama rambi rambi ni time bound!!!
  9. T

    Hatimaye Maombi ya kumwombea Rais Magufuli yaanza kujibiwa

    Perfection, may be!! I'll always try to be right. I'll never aim for the unattainable. If that is being mediocre, accepted.
  10. T

    Hatimaye Maombi ya kumwombea Rais Magufuli yaanza kujibiwa

    Let him avoid trying to be perfect, but being right.
  11. T

    Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

    Huelewi usemacho. Soma post yangu ukiwa na akili tulivu, utanielewa.
  12. T

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Ilitosha kusema umesoma post kabla haijarekebishwa. Prudence so dictates. Sijui wehu ni akina nani sasa?
  13. T

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Soma post vizuri. Watakucheka watu.
  14. T

    Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

    Uelewa in tatizo kubwa. Soma thread upya.
  15. T

    Please Lowassa, watu wa Bukoba wanasubiri chakula ulichoahidi wakati wa ukame na sasa ni mafuriko

    The opposite seems to be true. Umesahau kwamba serikali ilizuia? Ukitaka kuwa mwongo lazima uwe na akili sana. Ukigundua huna akili za kutosha usiseme uwongo.
  16. T

    Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

    Hujui usemalo. Tangu lini wabunge wakajenga Barabara? Serikali kuu na mamlaka za serikali za mitaa ndio wenye majukumu hayo. Au unaogopa kuilaumu serikali yako. Usipojenga hoja zenye mashiko, usitarajie mabadiliko. You are milking a bull.
  17. T

    Je, unawafahamu hawa kwa sura?

    "Usibishana na mpumbavu kwa upumbavu wake, usije ukafanana naye." Mithali 26:4
  18. T

    Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

    Waga Wagagagigikoko, Bulicheka na mfalme Huihui. Hilo kabila uliloandika wanakaa marikiti gani?
Back
Top Bottom