Search results

  1. Kirokonya

    Ni sahihi kutuma hela ukweni ikiwa binti sijamuoa?

    ....hii stupidhead nimeipenda, imenikumbusha zamaan sana!!
  2. Kirokonya

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    [emoji23][emoji24]
  3. Kirokonya

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Anasikilizia flavour ya beer!
  4. Kirokonya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Pitia angalau Google utoe tongotongo kidogo!
  5. Kirokonya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    No, alilishwa kimasikhara!
  6. Kirokonya

    Wazungu tunaogombania nao dalalada wamemkosea nini mwenyezi Mungu?

    ...usikatae, hii ipo sana. Nilishaona mzungu mmoja na pesa zake aliolewa umasaini akakaa kwa boma kwa ndoa ya mitala.
  7. Kirokonya

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Pengine tunarogwa bila kujua!
  8. Kirokonya

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    .
  9. Kirokonya

    Uliwahi kuona nini? Kwenye simu ya mtu, mke au ndugu cha ajabu

    Atakulia timing akuumize kimyakimya! Ujue K hainaga ushirika.
  10. Kirokonya

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Enzi hizo wafumaji wa vitambaa vya kochi walikuwa na soko.
  11. Kirokonya

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Asante sana Mkuu Mshana Jr . Kwa kweli leo ndio nimejua kuwa kinaitwa Kibao Chambuzi na siyo Kibao Cha Mbuzi. Naamini pia wengi hawajui kwani wengi huita Mbuzi ya kukunia nazi!
  12. Kirokonya

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Men tunapigwa sana!
  13. Kirokonya

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    .
  14. Kirokonya

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ...
  15. Kirokonya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Inawezekana sana asijue, kwani madaktari wengi pamoja na ofisi zao kuu, wana sehemu nyingine wanazoenda kufanya kazi part~time.
Back
Top Bottom