Search results

  1. U

    Nape Nnauye na urithi (legacy) CCM.

    inaelekea ccm wanashangilia ugumu wa maisha
  2. U

    CCM wakosa umma Singida

    wangewakodisha ze komedi kama kaka yao jk.nape anaongea kwa nguvu mpaka meno yanatoka jasho.0784403279.pia nape arudishe pesa za epa haraka.mishahara miwili nao ni ufisadi pia
  3. U

    Nape ajibu makombora ya Marando

    nimeambiwa elimu ya nape ni kidato cha nne.sasa hakuna haja ya kujibizani na huyu tambwe hiza wa ccm
  4. U

    Sugu jimboni kwa mwakyembe

    Tusaidieni kujua kama nape ile nyumba ya urafiki aliipata kwa kufuata taratibu zote maana nasikia nako ni kafisadi fisadi vile
  5. U

    Natoa siku saba (7) kwa ridhiwani kikwete la sivyo........

    Huyu dogo alipata gpa ya ngapi pale mjengoni?.maana kwa mtu aliyekwenda shule hawezi kufanya hayo.kwanza nasikia alikuwa kilaza sana class
  6. U

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Tutaomba kujua dogo huyu alipata gpa gani pale mjengoni pale.yeye na jk
  7. U

    Songea: Leo CCM wanafanya mkutano wa hadhara, kesho CHADEMA

    Huu moto wa chadema utafanya chama cha mapinduzi washindwe kutekeleza ahadi zao kama walivyoahidi kwa kuwa kila siku wanawogo
  8. U

    Songea: Leo CCM wanafanya mkutano wa hadhara, kesho CHADEMA

    Nimeambiwa ccm wamekopa pesa bank kwaajili ya kuwalipa watu wa kwenda kwenye mkutano.hivyo nawashauri wananchi wazichangamkie hizo pesa za nguvu.ni nape katuma kupitia account ya mwenyekiti wa ccm mkoa na waziri nchimbi.chadema inatisha
  9. U

    Nape ni mahiri kuliko wakonwe CCM??

    Huyu dogo anatumiwa na kikundi cha mafisadi kukemea ufisadi.ndiyo maana hata mikutano yake imekosa mvuto,mimi namshauri nape arudi kwa mafisadi aombe pesa ya kuhonga wananchi ili aweze kujaza mikutano yake kama alivyokuwa akifanya jk wakati wa kampeni kubeba watu kuja kusikiliza usanii wake.pia...
  10. U

    Sugu jimboni kwa mwakyembe

    Ukiangalia mikutano ya chadema na ile ya nape na wapambe wake,utajua kuwa ccm kimekosa mvuto kwa wananchi kwa idadi yao ukiwahesabu hata huwezi kumaliza vidole,.namshauri nape atafute pesa za kuhonga wananchi waje kumsikiliza porojo zake na mwigula wake.pia tunamtaka nape arudishe kadi ya chadema.
Back
Top Bottom