Search results

  1. C

    Hofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1

    Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya kumpima. Story iko hivi nilikutana na mdada sehemu akiwa na rafiki yangu pamoja pia na dem wa...
  2. C

    Tangazo la Kazi Kampuni ya uchimbaji Tedpath Nyanzaga linatia shaka

    Habarini ndugu zangu, Kuna tangazo la ajira la Redpath mining contractor kila nikilitazama kwa marakadhaa linanipa ukakasi pia ukiongeza na ile email yao ya ajira ya Gmail nashindwa kuwaelewa kwa alie Sengerema au mgodini hapo nyanzaga tunaomba utoe neno lolote kama kuna ukweli. Asante...
  3. C

    Lounge au night club kwa Dodoma

    Jamani habarini. Niko Dodoma ambae anafahamu sehemu nzuri amabayo ina mziki na naweza angalia mpira naomba maelekezo tafadhali Niko Dom muda huu.
  4. C

    Msaada ninashida ya infection kwenye sikio ndugu zangu

    Habarini wana jf nimatumaini yangu mu wazima nimeona niingilie huu uzi maana namm nina tatizo la infection kwenye sikio. Lilianza nikiwa Dar nikaenda pale Ekenywa akanicheki dr akaniambia inabidi ni hudhurie clinic pale kwa week sita ikianza siku niliyo enda sasa shida ikaja mm nashughuli zangu...
  5. C

    Msaada wa Daktari Bingwa wa Sikio Ent Mwanza

    Samahani wakuu ninashida ya sikio nilikua nina fungus nimejaribu kutumia antibiotic sujaona nafuu samahani ambae ana fahamu dactari bingwa wa ENT. Naomba msaada tafadhali
  6. C

    Naombeni mnishauri namna ya kuimarisha afya yangu

    Habarini sana jamvi!! Nilikua naomba ushauri kuhusu afya yangu week kama moja ilo pita nimeugua malaria,typhoid,minyoo,brucella na nilikua nimemaliza dozi ya ghono. Nimetumia Madawa nikaribu nayamaliza ila bado mwili wangu umechoka choka viungo vya mkono na miguu vinachoka usingizi unakua wa...
  7. C

    Naomba ufumbuzi kuhusu maradhi haya ndugu zangu

    Habarini za muda sana jf ni matumaini yangu mko salama!! Nilikua Nina shida katika mwili wangu ambalo limenipelekea kuwaza sana. Natatizo au matatizo yenyewe nihaya nahitaji ufumbuzi kidogo. Nilikuwa na girlfriend baada ya kukutana kimaumbile baada ya muda kama week nilianza kujihisi kwenye...
  8. C

    Natafuta kazi au kibarua cha muda mimi ni fundi sanifu umeme (Electrical Technician)

    Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima. Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam. Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
  9. C

    Msaada kuhusu interview za utumishi upande wa fundi sanifu umeme(ELECTRICAL TECHNICIAN)

    Habari zenu ndugu zangu poleni na majukumu nilikua naomba kufahamu interview za written zinakuaje utumishi upande wa electrical technician ikiwezekana na baadhi ya maswali ambayo huulizwa natanguliza shukurani.
  10. C

    MWENYEKUA NA PAST PAPERS ZA TANESCO UPANDE WA ELECTRICAL TECHNICIAN

    HABARINI WANAJAMVI HUSIKA NA UZI UNAVYO SEMA NILIKUA NAOMBA AMBAYE AMESHAWAHI FANYA INTERVIEW ZA TANESCO UPANDE WA ELECTRICAL TECHNICIAN KAMA ANA PAST PAPERS ANISAIDIE NATANGULIZA SHUKURANI WAKUU Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    NAFASI ZA KAZI TANESCO KANDA MBALI MBALI

    Nafasi za kazi mbali mbali kikanda TANESCO
  12. C

    Tuliotuma maombi TANROAD songwe tujuzane tafadhali

    Jamani kwaanaejua kama Tanroad songwe wameita tayari shift incharges na operators tujuzan tafadhali
Back
Top Bottom