Search results

  1. T

    Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

    Nchi ya matamko, wateule wanapingana na Boss wao. Kati yao yupo mmoja anae tuongopea
  2. T

    Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

    Sheikh Hamza alikosea na mwenyewe kakiri. Soma hapa Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi
  3. T

    Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi

    Hayo yamejiri ndani ya ofisi ya Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam baada ya sheikh Hamza kuomba kuonana na Sheikh wa Mkoa.
  4. T

    Mtoto aliyepandikizwa betri moyoni afariki dunia

    Inalillah waina illaihi rajiuun. So sad...
  5. T

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Wote ni wapenda sifa na wakurupukaji. Time will tell.
  6. T

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Tukisema tunaonekana wazushi, ila ukweli utabaki kuwa teuzi za magufuli zipo biased sana. Kwa mwendo huu anazalisha jipu ambalo litatuweka pabaya kama taifa. Tumesema na hatutochoka kusema hili.
  7. T

    Je, Uislam ni kosa la jinai Tanzania?

    Jibu hoja dada acha viroja, ukweli unauma siku zote. Kama hauwezi kujibu bora unyamaze
  8. T

    Mimba tatu zimeharibika

    Pole sana, kwanza ondoa hofu, I miaka 4 sio mingi, hasa kama utaishi maisha yako wewe na mkeo bila kuruhusu ndugu/marafiki kuwaingilia. Nime pitia katika hali kama yako, na japo ina tofauti kidogo, namshukuru Mwenyezi Mungu sikuwapa ndugu/marafiki nafasi la sivyo ningekuwa na hali mbaya...
  9. T

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Waache wanao shangilia waje kuisoma namba. Hawajui kuwa sukari tunayo zalisha haikidhi mahitaji na hivyo bei itapanda. Wana sahau wafanya biashara wetu huwa wanaficha sukari ili bei iwe juu. Huu ulimwengu wa soko huria, kwanini was iache iingizwe ili kuwe na ushindani? Yangu macho.
  10. T

    Rais JPM, Waziri Mkuu Majaliwa nae ni JIPU, mtumbue

    Magufuli mwenyewe ni jipu, ali tuambia Mv Dar es Salaam inge fanya kazi na kusaidia usafiri kati ya Dar na Bagamoyo. Iko wapi mpaka leo? Ikiwa inatumia masaa 3 mpaka Bagamoyo wakati boti za Azam inatumia chini ya masaa 2 kufika Zanzibar, hapo hakuna jipu???
  11. T

    Rais Buhari wa Nigeria atimua Wakuu wa Mashirika 26 kwa mpigo

    Hiyo nzuri, usuke nchi upya na asi sahau kupambana na boko haram
  12. T

    Nimemnyima jirani yangu kibao cha nazi

    Uchoyo tu unakusumbua. Watu tuna azimana mpaka chumvu sembuse kibao cha nazi ambacho hakiishi
  13. T

    BAKWATA Ina matatizo ya Uendeshaji. Je, itaziweza Mahakama za Kadhi?!

    Mashaalah majibu mazuri yenye kujitosheleza. Mleta Mada naamini ukweli ana ujua vizuri, hakuna mtu yoyote anae fuatilia siasa za Tanzania vizuri halafu asijue ukweli kuhusu bakwata. Bakwata wapo kwaajili ya serekali na kwa maslahi ya serekali wala hawana msaada kwa waislam na kamwe hawa...
  14. T

    Hospitali nzuri ya kwa mjamzito

    Nilifuatila agakhan, hawapokei kadi za nhif
  15. T

    Hospitali nzuri ya kwa mjamzito

    Asanteni sana, ameanza kwenda Muhimbili tangu Jana.
  16. T

    Hisa za CRDB kushuka!!

    Uchambuzi mzuri, bank nyingi zita athirika na huo uamuzi wa serekali na Hilo Lita saidia benki kuwa wabunifu zaidi
  17. T

    Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

    Umechukua hatua stahiki kulinda ndoa yako, huo ndio uanaume. Nashukuru Mwenyezi Mungu wife Kakataa kufanya kazi mwenyewe, japo mwanzo siku kubaliana nae sana ila sasahivi nime muelewa vizuri kabisa
  18. T

    Wanaotumia ni wengi lakini madhara hayajulikani

    Paka kwenye nguo na sio kwenye ngozi kwasababu harufu tu inafukuza mbu kwahiyo sio lazima kupaka kwenye ngozi. Sina imani nazo japo nime wahi kuzitumia mara kadhaa
  19. T

    Hospitali nzuri ya kwa mjamzito

    Kama Kuna Dr au yoyote pale unae mfahamu naomba utu unganishe au unipe mawasiliano
Back
Top Bottom