Taarifa inasema hivyo ndiyo viwango vipya vya mishahara kwa watumishi wa ndani yaani dada.
Kama anakaa nyumbani kwa bosi atalipwa Tsh 60,000 kwa mwezi na wale wanaoishi kwao watalipwa Tsh 120,000 kwa mwezi.
Nimeelezwa kuwa CAG ameitwa na BUNGE kupitia kamati yake ya maadili na siyo Spika. CAG ameitwa kwa summons ili awexe ku appear before kamati ya maadili na siyo Spika.
BUNGE linaweza kumtuma au kumuagiza Spika amuite mti yoyote Yule achilia mbali CAG.
Lowassa aliwahi kulilalamikia BUNGE kwa...
Sijaona nini kinazingatiwa wakati wa kutuma mialiko maana Mara zote waislamu huwakilishwa na shehe wa mkoa wa DSM.
Wakristo wao huwakilishwa na kilundo cha maaskofu sijaelewa ni kwanini?
Au waislamu ni wachache kimadhehebu!
Watangazaji wa Clouds 360 wamewataka viongozi kutumia lugha ya staha wafanyapo mawasiliano na umma.
Wamempongeza Prof Assad kwa uungwana alionao
Source Clouds tv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.