Search results

  1. Yericko Nyerere

    Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    Mjadala huu ulikuja kuzaa kitabu cha Ujasusi kilichokuja kujibu upotoshaji wa Historia ya Tanganyika na Historia ya Zanzibar, Kitabu hiki kimenipa tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika 2023 na sasa nimeingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya mwandishi bora barani Afrika...
  2. Yericko Nyerere

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Unaonekana una hasira sana, Ulimia sana Putin kuzuia ushoga?😂
  3. Yericko Nyerere

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Unaonekana una hasira sana, Ulimia sana Putin kuzuia ushoga?😂
  4. Yericko Nyerere

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Mlikuwa mnaniona wewe na nani? Badala ya kujisemea wewe lakini unawasingizia na wengine? Subiri kitabu kitoke usome utoke gizani kijana
  5. Yericko Nyerere

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Kwahiyo kumbe umeshakisoma hata kabla hakijatoka? Nchi hii ina viumbe vya ajabu sana!😂😂
  6. Yericko Nyerere

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Unamaamisha huyu ndio pumba au wewe ndio pumba?
  7. Yericko Nyerere

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
  8. Yericko Nyerere

    Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Siku nyingi sana na majini tayari yanaishi ndani
  9. Yericko Nyerere

    Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Asana mshirikina mwenzangu!
  10. Yericko Nyerere

    Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

    Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU! Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni...
  11. Yericko Nyerere

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  12. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Akili za kuelewa zenyewe zipo?
  13. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Tunapojadili mambo ya maana jitahidi kuficha upumbavu wako ndugu
  14. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Tunahitaji maamuzi magumu!
  15. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  16. Yericko Nyerere

    Kwanini Abeid Amani Karume Alimtimua J.Okello "Empty Handed" licha ya kumsaidia kufanya Mapinduzi ya kumtoa Sultan?

    Majibu yote nilishaeleza kwa undani sana katika kitabu hiki, Okello alipinduliwa akatekwa na kwenda kutupwa Uganda na Julius Kambarage Nyerere kisha Urais wa Zanzibar akampatia Karume, shughuli zote zikakamilka pale Ukonga terminal 1 jiji Dar es Salaam.
Back
Top Bottom