Search results

  1. tongs

    Askofu Bagonza aamua kumtetea Prof Kabudi, asema yuko sahihi katoka jalalani

    Daaah baba askofu ukiweka umeweka. Asante sana
  2. tongs

    Kiukweli Prof. Palamagamba Kabudi anafaa kwa nafasi ya Spika wa bunge la JMT mnamo 2020

    Tukitaka kupata vichekesho kama ivi tunafanyaje
  3. tongs

    Soko la Pink Sapphire!

    Kiongozi, tayari ziko heated na kuchongwa au ni rough?
  4. tongs

    Huyu housegirl wangu anayaweza mambo zaidi ya wife

    Mkuu nakukumbusha vitu viwili: 1. Hakuna beki tatu tasa 2. Kila siku ni danger day ya beki tatu. Kwa hisani ya dk shika
  5. tongs

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    Hapana sijasema iyo bei kiongozi
  6. tongs

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    Udalali sio kazi yangu mkuu, na sijawahi kuifanya
  7. tongs

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    Wakuu mbalimbali, tukutane pm kwa maongezi zaidi na bei
  8. tongs

    CHADEMA yameguka; wanachama 50 wahamia CCM Geita

    Lumumba bana, eti kila siku wanatoka chadema tu, hawajaisha? Hahha
  9. tongs

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    Reg number D 90000 kms Running No accident history Slide to my PM if interested, only serious buyers. Thanks
  10. tongs

    Nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma

    Sahihi kabisa kiongozi
  11. tongs

    Nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma

    Hayo ni maneno ya kampeni. Hata ukiongezewa elfu 20 usilalamike mana ni increment. Mark this tweet. #UchaguziMadiwani
  12. tongs

    Kaburi la mtoto mchanga ni futi ngapi?

    Mkuu, ulienda msibani kufurahishwa? Wameliona hilo ikabidi wachimbe kaburi lisilokufurahisha ili muwe pamoja
  13. tongs

    Msemaji wa Serikali: Kuna watu hawajamuelewa Rais Magufuli, Ni mtendaji na sio mwanasiasa

    Haha, mkuu badae mtatuambia ccm ni dini, kibwetele alianzia mbali sana. Ni ishu tu ya saikolojia
  14. tongs

    Msemaji wa Serikali: Kuna watu hawajamuelewa Rais Magufuli, Ni mtendaji na sio mwanasiasa

    Ccm sio chama cha siasa nimegundua leo, mana mwenyekiti wake sio mwanasiasa. Big up sana msemaji wetu
  15. tongs

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Kigwangalla amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wanyamapori

    Wasiojulikana wameanza kuwafatilia had ccm? Hii ndo mbwa kala mbwa inaitwa. Anyway kongole sana mheshimiwa kwahuo ufatiliaji, nimoja ya wizara nzito kwelikweli. Ila usimchukie mtu kwa kigezo alikua rafiki na waliopita. Mwisho, siasa ni ovyo sana, yani kigwangala anamfukuza professa, alafu...
  16. tongs

    Matangazo ya TBC ya TV na RADIO kuzimwa usiku huu ili kuboresha urushaji kwa Setilaiti

    Ivi ulikua unamaanisha ile tv ndugu na uhuru media? Mkuu aya bana kutujazia nyuzi
  17. tongs

    Naibu Spika Dr. Tulia kujenga vyoo viwili vya shule Mbeya mjini!

    Nimemsikia kaweka kombe la mpira, kaweka mashindano ya sanaa, kajenga vyoo....... Anafanya jambo jema sana la kimaendeleo. Ila yeye kama naibu spika, anaunganisha wananchi nchi nzima, hatumsikii akifanya hayo singida, au bukoba au hata tunduma basi. Kila siku mbeya mjini, kwani kawa naibu spika...
  18. tongs

    Uhuru agrees to reconciliation call from Anglican Church leader! What can we learn from here?

    Cha kujifunza kutoka Kenya ni katiba mpya inayoonesha mipaka ya madaraka kwa kila mhimili. Zaidi yahapo kidumu kitaendelea tu kwa hisani ya piere na yoweri
Back
Top Bottom