Search results

  1. NestoryJ

    Huu ni ubunifu wa Hali ya juu kutoka CHADEMA

    Hii ikisimamiwa vyema itakuwa na impact kubwa sana, ipate usimamizi tu na promotion za kutosha. Watu wamechoka na Chaka tawala wanahitaji mabadiriko kwahiyo wasituangushe aloooh. Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  2. NestoryJ

    SoC02 Mtoto/ Watoto wako wenye vipaji/talent unawasaidiaje wakati huu?

    Namimi ninaungana na wewe mtoa mada kwahili na ni janga la kitaifa na endapo hatua muhimu zikiweza kuchukuliwa, tunaweza kuleta kitu muhimu sana ambacho kinaweza kuwa na tija kwa jamii.. Ninazungumza hili nikiwa ni miongoni mwa wahanga wa tatizo hili sababu, katika familia ukiwa unakipaji cha...
  3. NestoryJ

    Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

    Kwa maono yangu naona, kiongozi yeyote atakae weka msimamo wake bayana kwenye swala la chanjo na watu wakamuelewa na majority yao ikakubali kudungwa chanjo! Nadhani ndio atakaekuja kuwa kiongozi wa pekee atakaefuta kumbukumbu ya Magufuli katika historia ya taifaletu huko tuendapo.
  4. NestoryJ

    Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

    Dah wazee wamechakazwa na mahusiano aisee...[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. NestoryJ

    Mbunge aliyedai waongezewe mshahara atakiwa aachie jimbo, CCM nao watoa kauli

    Kwa namna nilivyomsikiliza siku moja anahojiwa alitaja sababu kadhaa kwamba; 1. Wakati anaomba lidhaa ya kuwa mbunge alitumia kama 72m na kunawengine walitumia zaidi ya 600m kuingia bungeni. 2. Kuna asilimia kubwa ya wabunge hawakai majimboni mwao sababu wanaongoza watu wengi na wengi...
  6. NestoryJ

    Wabunge msiotosheka na 12M, achieni ngazi young graduates wachukue nafasi zenu

    Kwa uhuru kabisa anakwambia yeye mpaka anaingia bungeni katumia 72m lakini kunawengine wapo wametumia mpaka 600m [emoji846][emoji846][emoji846]. Nilivyomsoma anataka 72m zake zirudi na faida juu as if kapanda shamba anategemea mavuno na faida wakati aliapa kuwa anakwenda kuwatumikia wananchi as...
  7. NestoryJ

    Wabunge msiotosheka na 12M, achieni ngazi young graduates wachukue nafasi zenu

    Inasikitisha sana kwa kweli, Luka 3:14 Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.” Kodi zetu wanachukua kwa nguvu na mabavu, mishahara yao haikatwi kodi 3.8m bado posho n.k...
  8. NestoryJ

    Kaini alipata wapi mke wake?

    Kwa hapa naomba nieleze na mimi kwa upeo wangu kidogo; ukisoma kitabu cha Mwanzo 1:26-31 kuna fumbo pale ya kwamba, Mungu alimuumba Mtu yaani mwanamke na mwanamume kwa mfano wa sura yake na akawaamuru wakazaliane na kwenda kuijaza Dunia na akawapa mamlaka ya kuvitawala vyote alivyoviumba...
  9. NestoryJ

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "Kila mmoja hufanikiwa kivyake ilikuwa muhimu kwa wengine" Dr Elie
  10. NestoryJ

    Je, Gerson Msigwa na Peter Msigwa ni ndugu?

    [emoji1][emoji1] hapana Mkuu uchawi ulikuwa zamani sana saizi wengi tumeelimika sana kutokana na utandawazi. Kipindi hicho cha mababu zetu ndipo ulikuwepo kwa wingi lakini wengi wao saizi wameshapotea wamebaki vijana wapambanaji sana ndio maana utaona kunaasili ya kubebana sana katika biashara...
  11. NestoryJ

    Je, Gerson Msigwa na Peter Msigwa ni ndugu?

    Peter Msigwa ni muhehe wa iringa na G. Msigwa ni mkinga wa Makete. Msigwa ipo katika makabira ma tatu yaani wapo akina Msigwa wa hehe, wapo akina Msigwa wa bena na wapo akina Msigwa wa Kinga
  12. NestoryJ

    Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

    Binafsi sishangai kwanini watu wanakimbilia sana kwenye siasa na kuamini kuwa ndio ajira pekee inayoweza kukufanya ukawa bilionea. Yote haya nikutokana kwamba wamezisoma akili zetu na ndio maana wapo radhi kuua, kuteka na kufanya lolote lile kwa maslahi yakwao binafsi. Haiingii akilini kuona...
  13. NestoryJ

    Ujenzi wa miondombinu kwa kodi ya raia haiwezi kuwa Legacy ya kiongozi. Rais Samia weka Legacy yako

    Nimekupata mkuu na nikizungumzia pia na swala la corona aliposema " tuondoe hofu na tubaki kuishi nayo kama magonjwa mengine!".. Hi nayo pia haiwezi kuwa legacy yake..? maana ukiweka siasa kando na ukaitizama Tanzania kwa upana wake, utaona hii namna inyoishi mioyoni mwa watu. Mataifa mengine...
  14. NestoryJ

    Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    Hapa jukwaani, kunawatu unaweza kuwasikiliza na usiwaelewe wanasimamia msimamo upi. Tatizo letu nikwamba tumejawa na usiasa+chuki binafsi kwa kiasi kikubwa ndio maana inafika mahara mtu anashindwa kuwa na msimamo thabiti juu ya jambo fulani na kulielezea kwa upana watu wakaelewa. Unaambiwa mtu...
  15. NestoryJ

    Ujenzi wa miondombinu kwa kodi ya raia haiwezi kuwa Legacy ya kiongozi. Rais Samia weka Legacy yako

    Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mimi nadhani JPM legacy yake kubwa ni uthubutu katika maamuzi yake ndicho kitu ambacho tutamkumbuka! Mimi binafsi na waliowengi na hata Mbowe na Zitto niushahidi tosha na wote wamelizungumzia hilo naweza nikasema. Madaraja, ndege na mambo...
  16. NestoryJ

    Mbunge adai SGR itajengwa kwa miaka 81

    Kwa hapa ninaweza kupishana na wewe kidogo kiongozi, mimi nadhani swala zima nivipaumbele. Kuna mwengine anaweza kuwa na 10m akafikiria kununua gari afanye daladala mjini apate pesa, mwengine atafungua duka auze bidhaa, wengine atafungua mpesa mwengine atafikiria akafanye investment shambani...
  17. NestoryJ

    Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Kwa kumbukumbu zangu mzee aliwahi kusema, "mkataba unaongelea kwamba! Bandari ikikamilika mamlaka yote itakuwa chini ya wachina kwa kipindi cha miaka 40 kama sikosei, kisha ndipo itakabidhiwa kwa serikali ya Tanzania". Nakumbuka hapa ndipo wachambuzi wakawa wanailinganisha na SGR ya Kenya pamoja...
  18. NestoryJ

    Tathmini ya Utawala wa Ali Hassan Mwinyi (1985-1995) kama Rais wa Tanzania

    Kwa kweli nimevutiwa sana na hii historia ya Mzee Mwinyi, nadhani ipo haja kweli ya kuelezea historia ya Tanzania na mambo yake katika vitabu vya historia. Bado ninatamani kujua zaidi mambo ya kiuchumi, kidini, kijamii na kisiasa enzi za Mkapa na JK. Ninaamini pia vipo vizazi vitatamani haswa...
Back
Top Bottom