Search results

  1. Ally humba

    Kilichofutikwa ni uvundo

    Ukiwa unaugua ukimuomba ndugu yako laki 2 tu nadhani hata kukuona anaweza asije tena ila anapokufa mgonjwa,,upendo wa kinafiki anaoneshwa Hali ya kua hawezi tena ata kusema asante
  2. Ally humba

    Mkurugenzi wa mawasiliano, Ikulu kutoa taarifa ya safari ya mheshimiwa rais kesho, ni kosa

    Watanzania midomo mirefu kila kitu mnajua alafu mnaoongea sana hamjui chochote
  3. Ally humba

    Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    [emoji23][emoji28]Hata mimi nacheka, asee, pole bwana
  4. Ally humba

    Hivi Hapa bado tuna mtu ?

    Kila mtu apambane na hali yake
  5. Ally humba

    Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

    Asee ,,nimekuja kuelewa mwiisho kabisa ,,hongera kaka
  6. Ally humba

    Sijawahi kukojoa tangu nianze kusex

    Muda bado mdogo wangu
  7. Ally humba

    Mtu kufariki punde baada ya kuonana au kuongea na wewe

    Hiyo ni kweli ,,mimi imenikuta kwa Baba yangu mzazi, ilikua asubuhi mnamo mwezi wa 5 mwaka 2007 ,,Tumeamka vizuri tu , familia yote ,tulivokua tunajiandaa kwenda shule mimi na ndugu zangu ,,Baba yetu ali kua akituangalia sana ,,mpaka tukawa na mashaka mzee ananini leo, , alichosema ,,muwe makini...
  8. Ally humba

    Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    Vijana haitufai iyo,,sie tunataka pesa tutese na totos ,,sasa abali ya no mchepuko iyo ngumu ,,,ila abali ya kufa na kuoza poa tuu
  9. Ally humba

    Taja tatizo lolote la kiafya la ajabuajabu au unalohisi mashaka usaidiwe

    Hahaha ;; mkuu ako kamchezo kako anakatumia mbuzi ,, ,,
  10. Ally humba

    Huwezi kupata kila unachotaka....

    Duuh;;;imetulia sana ,,
  11. Ally humba

    Dunia simama nishuke

    Mi nilishashuka ivo ,,ata sielewi nipo wapi
  12. Ally humba

    Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

    Heshima yako #Demiss
  13. Ally humba

    Rais Magufuli: Maendeleo hayana vyama, hamieni huku kama Waitara tulete maendeleo!

    Mmm, ila hujamaanisha nani mwehu, mtajeee
  14. Ally humba

    Ukitizama Ulimwengu kwa jicho kali, Matambiko haya mawili YANAIFUNGA TANGANYIKA/TZ kuinuka

    Mambo yanatisha sana ,,,ndio maana babu yangu alikua wakati mwenge ukipita atatufungia ndani na kusema hatuna macho ya kuutazama ule ,,sikuwahi kuelewa maana yake ,,
  15. Ally humba

    Hata kama kitanda hakizai haramu.

    Duuh,,[emoji21]
Back
Top Bottom