Search results

  1. Firefox

    Block a plot 185 Sqm 690. Kinauzwa sh 9.5 m

    Jibu basi hili swali la Amalinze kabla wengine hatujafanya uamuzi wa kununua:
  2. Firefox

    Nahitaji laptop wakuu

    Naihitaji hii, ni PM price na model yake!
  3. Firefox

    Download picha na video za instagram kwa urahisi

    Thanks kwa ku promote hiyo application, hii SAVEFROMINSTA ni site yangu, na nimei code mwenyewe kwa kutumia instagram API, Nimeiweka katika namna ambayo pia unaweza share any public photo from instagram to Facebook bila haja ya kui download kwanza! Karibni sana mnisaidie kuipa promo site...
  4. Firefox

    RAV 4 old model inahitajika

    Ni PM nikuuzie Rav4 Old Model namba AZ. Iko vizuri full AC, rangi black na uje ukague na fundi wako!
  5. Firefox

    Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    Unafahamu bei ya Land Cruiser V8 ya 2015?? Acha kulinganisha simba na mbwa bro!!
  6. Firefox

    Google search: Tundu Lissu amkaribia Donald Trump

    Can you hear yourself??? Unalinganisha internet popularity ya Donald Trump na Tundu Lissu??? Duuuh. Kweli mahaba yakizidi ni balaa. Na likes million 8 za Facebook unazielewa kweli??
  7. Firefox

    Nyumba inauzwa

    Vipi bomoa bomoa maeneo ya Kipawa hayo mkuu?
  8. Firefox

    Download picha na video za instagram kwa urahisi

    Kwa wale watumiaji wa instagram wanafaham kwamba ni almost impossible ku download au ku save picha moja kwa moja kutoka instagram, zaidi wengi huamua ku screenshot. Sasa ku save picha au video moja kwa moja copy "share url" ya hiyo instagram video au picha, halafu fungua link hii...
  9. Firefox

    PICHA: Vitabu mbalimbali vya Askofu Gwajima

    Congratulations Bishop. Ninakihitaji hiki kitabu
  10. Firefox

    Agiza kitu chochote toka Ujerumani kisichozidi kg 20

    Nijie na 8GB laptop RAM ddr3. Nitakupa pesa yako chap chap
  11. Firefox

    Natafuta software ya ku-print pilau kwenye 3D printer

    Pole jamaa, watu wanakutukana kwa kuwa hawaelewi maana ya 3d printing. Ku print pilau pia inawezekana kwa kuwa so far waweza print vyakula kama pizza na burger. But itabidi hiyo pilau iwe na shape maalum inayoeleweka. Natoa wito, wabongo tupende kujifunza, sio kupinga kila kitu.
  12. Firefox

    Tecno l5 inakaa na charge wiki kwa laki 1

    Nipo Dar es Salaam wakuu!
  13. Firefox

    Tecno l5 inakaa na charge wiki kwa laki 1

    Hii Hapa Boss!!
  14. Firefox

    Tecno l5 inakaa na charge wiki kwa laki 1

    Nauza TECNO L5, ina betry ya 5000 MAh, (Inakaa wiki na zaidi kama huitumii heavy with 3G off) ina uwezo wa kufanya reverse charging (ikatumika kama power bank kucharge simu nyingine) 1GB Ram 8GB internal memory 5 Megapixels Camera with flash 1.3Ghz quad-core processor Android 5.1 PM me...
  15. Firefox

    Kiwanja kinauzwa

    Kipo Umbali gani kutoka Morogoro road?
  16. Firefox

    SAMSUNG Galaxy A8 for sale

    580,000 nitumie PM
  17. Firefox

    Mwanaume mwenye sura Mbaya kuliko wote Uganda apata mtoto wa 8

    A man crowned the ugliest man in Uganda has become a dad for the eighth time. Godfrey Baguma, known as Sebabi – which means ‘ugliest of them all’ – suffers from a rare medical condition giving him his distinctive looks. The 47-year-old married his second wife Kate Namanda, 30, in 2013. Since...
Back
Top Bottom