Search results

  1. O

    Dar, Kisutu: Kesi namba 112/2018 inayowakabili Viongozi Wakuu wa CHADEMA, inaendelea leo

    Kwa kuwa hakuna polisi aliyefunguliwa mashtaka kuna haja ya kesi kweli? C wawafunge tu tujue moja?
  2. O

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Ushauri wangu kwa huyo mama ni kumshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea. Atulie na kumwambia Mungu asante. Wenye nchi yao wameshaamua hata alie na kutoa machozi ya damu haisadii kitu. Afterall mwanaye alishakufa hata kama huyo binti angepigwa risasi bado mwanaye hawezi kurudi. Ameen
  3. O

    Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Ni ya kushtukiza kweli? Hivyo vyombo vya habari vimetoka wapi? Au vinalala na kuamkia hapo whouse?
  4. O

    Arusha: Mwandishi wa habari atekwa ateswa kisha kupigwa picha za uchi

    Kamuulize mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa atakuwa anajua
  5. O

    "Kifungo cha nje" kwa "Lulu": Haki imetendeka au ni ‘Mockery of Justice’?

    Nchi tayari ilishaharibika mara tu baada ya watu wa mbasha walipokabidhiwa. Actually mimi siwalaumu wao ila ba mkwe atajibu kwa Mr. God
  6. O

    Kama Wabunge hawafanyi mikutano majimboni mwao, wanavyovizungumza Bungeni wanavitoa wapi?

    Pamoja na jibu lako zuri mwongezee na ujumbe huu kwamba akamuulize huyo aliyekataza hiyo mikutano
  7. O

    Rais na Mwenyekiti Dr. John P. Magufuli, umeionaje hali ya ofisi ndogo ya CCM Lumumba?

    Usiwe mbishi unapoelekezwa. Ours is that which deserves somebody with leadership qualities and not a kidtator. Pls
  8. O

    Serikali yazidi kuboresha maisha ya Watanzania

    Hahaha uchumi wako uko makuyuni
  9. O

    Polepole, Ati Mbeya ina ukabila, hapa umekanushwa!

    Unataka kuwaaminisha watu kuwa amejipachika kama dab?
  10. O

    Nitapataje incubator inayotumia mafuta ya taa?

    Sido zipo kumbe? Asante sana ndugu
  11. O

    Nitapataje incubator inayotumia mafuta ya taa?

    Tena ukijibiwa nakuomba uweke wazi na mie ninaihitaji hata kama ni ya umeme
  12. O

    Nimechimba kisima kwa 5.8mil nasambaza maji mtaa mzima; Nashangaa miradi ya Serikali huwa inakwama wapi

    Ngoja niiforward kwa commissioner gerneral wa tra a raise invoice akuletee. Unataka kushindana na dawasco?
  13. O

    UDART wafungua kesi mahakamani kuzuia Serikali isilete muwekezaji mwingine kuendesha mwendokasi

    Kisema na former and current citizen one samesame shida iko wapi? Ukawa waliwahi kusema mkawapuuza leo vipi?
  14. O

    Mbowe: Kila hakimu aliyepelekewa jalada la rufaa ya kesi ya Sugu, alisema anaudhuru

    Kwani wewe ndio kwanza unahisi lipo tatizo? JK1 aliwahi kusema " Walipotoka Zanzibar kimyakimya wakaanza kutenda mambo ya hovyo 'sisi wenye akili' tukajua mambo tayari". Hebu tafakari
  15. O

    Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

    Kumbe ni propagandist ndo maana anadai ni mcha Mungu. Wako wacha Mungu na bado wana damu za wanadamu wenzao mikononi mwao
Back
Top Bottom