Search results

  1. T

    No referendum for ZNZ; Yes for Unity Government!

    lililo baki kwa wazenji kuamua kuwa na serekali moja tu hakuna jengine ili kuondoa mgongano na chama kiwe kimoja kwa tz
  2. T

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    yamekuhusu vipi wewe matatizo ya znz walipo uwawa watu mbona tanganyika mlikaa kimya na nyinyi ndio mnao utaka huo muungano wakati wazenji hawana haja nao nini mumewasaidia nyinyi mnapenda kuoa wanauana na kumalizana ndio furaha yenu wache waondoe tafauti zao kazi yenu kutia fitna tu...
  3. T

    Wanasiasa Waliopanda Chati na Kushuka, Halafu?

    mbona mmemsahau mapalala aliye kuwa mwenyekiti wa mwanzo cuf leo hata hatajikani sijui yuko wapi
  4. T

    Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

    ni jambo la kushangaza mtoto hajazaliwa na wala mimba haijawa mnaleta wataalamu wa kugawana faida kwa hiyo inaonyesha mimba iko tayari na ndio maana mnanunua nguo a mtoto kwahiyo mafuta inawezekana yapo zenji kwani wao sio wajinga kusema kuwa mafuta ni yao ukiangalia sana wazenji wengi wapo...
  5. T

    Kumbe Tanganyika bado ipo!

    duh nitafurahi ikiwa itarudi tunamuomba mungu irudi kama leo na kesho na sio kufichwa inajulikana kuwa tanganyika ipo na serekali yake ipo sasa hii ni kuonyesha kuwa mnawakandamiza wazenji tu
  6. T

    Seif na Karume walisema mazungumzo yao ni Siri, sasa inakuwa vipi haya?

    dah sasa jamani mnataka nini hasa wakipatana mnalia wakichukiana mnafurahi
  7. T

    Wadau mmesikia haya ya Zanzibar... CUF imepigwa chenga ama ?

    kwani shamhuna ni nani hata mumpe sifa zote hizo ungekuwa unamjua shamhuna wala usingesema kitu huyu jamaa ni msaka tonge tu na mpenda ulwa wewe huoni hata katika kamati kuu hayumo amekataliwa kwao kwenye jimbo lake amashindwa kaikosa nafasi na sasa ataikosa tena nafasi hiyo ya uakilishi...
  8. T

    Wadau mmesikia haya ya Zanzibar... CUF imepigwa chenga ama ?

    asojua kitu haambiwi kitu shamhuna ana ukweli gani ungekuwa unajua basi bora usingesema kitu la kushangaza wengi wanao leta mada ya zanzibar basi hata huko zanzibar hawajafika wao wanasikia kwenye news tu shamhuna si lolote si chochote yeye ni msaka tonge tu yuko katika kutapatapa tu ili...
  9. T

    Zanzibar kumekucha - Abdallah Issa

    kwani tatizo liko wapi jamani kwani hata week bado haijamalizika leo imekuwa maneno mengi ya uzushi tu inabidi kwanza tusubiri nini kitaendelea huwezi tu mkutane leo na mumalize kila kitu hata dem ukimtongoza lazima atakujibu nimekubali lakini subiri sasa leo mnamlaumu seif bure yeye si...
  10. T

    Kikwete Amedanganya wananchi hawa

    kwani pale wapemba wakiikataa ccm si mnaona ni wajinga sasa ndio muone wapemba wameuliwa na nyinyi mlikuwa kimya bado mtaipigia ccm mkipewa pombe na flana tu basi mmeridhika amkeni bado mmelala mkidanganywa tu kidogo basi sasa hiyo ndio hali muuone wapemba wao wameshajijua na ndio maana ccm...
  11. T

    Mkapa: Yote yanayosemwa juu yangu namuachia Mungu

    mungu anatosha kumuhukum mkapa ameua watu bila ya hatia watu wamebakwa pemba huu unyama alofanya mungu ndio atamlipa hana jema alofanya ila ufisadi na kutumia madaraka kujilimbikizia mali
  12. T

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    nadhani wengi wanajua hali ya muelekeo wa znz kwa sasa tanganyika wanataka kuifuta znz isiwepo na ndio maana sasa wazenji wameshashtukia hilo na ndio maana wameamua kushikamana ili kuinusuru kwani hakuna njia nyengine ila kuwa na umoja hapo bara ndio wanabaki hawajui nini wagfanye
  13. T

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    mwinyi sio mzanzibar hilo ulijue na itakuwa vigumu sana yeye kuwa rais kwani hana sapota yoyote kule na ujue huyu mwinyi baba yake ameshakuwa rais hii haitoonyesha pic nzuri
  14. T

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    ndio cuf lazima washwrehekee zaidi kwani wao hawajui kitu chochote na wala hawakutegemea kuwa seif na amani watakutana wao wamestukia tu kwenye magazeti kwa hiyo ni lazima wasisherehekee kwani lengo lao halijafanikiwa walivyo taka wao karume na seif wasikutane sasa wao bado ccm wanajiuliza...
  15. T

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    mimi naona liko jambo kubwa na sio hivi hivi tu seif kukutana na karume inamaana seif kurudi 2 ulaya kaenda kwa karume bila ya taarifa au kuna mtu kati ndie alowaunganisha wakutane ihii ishu naona haijazuka hivi hivi lazima umeunda zamani sana ukiangalia karume hendi kwenye sherehe yoyote ya...
  16. T

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    tuseme ukweli waungwana na tusisemee kiushabiki ushabiki naqhisi mimi kuna jambo kubwa litatokea mbeleni kwani tukiangalia sana utaona leo karume yuko kinyumbo na mambo ya muungano hendi kwenye sherehe wala vikao na leo utaona wanakataa mambo yalio ya muungano mfano mafuta yasiwe ya muungano...
  17. T

    Mbio Za Urais Wa Zanzibar 2010: Kanisa Katoliki Laanza Kumnadi Waziri Khatibu

    hata mimi naona askofu kachemsha ni bora angesema imamu wa msikiti ingekuwa afadhali kwa siasa za znz zilivyo askofu asiingie kwani keshamuharibia khatib wazenji walivyo na udini mh sawa tutaona huko mbele
  18. T

    Matawi ya CCM Uingereza

    hakuna ubaya w ccmkuwa na matawi uk ila kama cuf wakiwa na matawi ndio watakuwa wabaya na yatakuwa makelele mengi lakini ccm wako poa tu kwani hawawalio anzisha matawi ya ccm wengi wao utaona ni watoto wa mafisadi na jamaaza mafisadi wanataka kujipendekeza wengi wao wako mafichoni
  19. T

    Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

    acheni kuwafagilia washenzi walolaaniwa na mungu hawana lolote wanalo lijua kazi yao majuishi ni fitna na dhulma tu hawana jengine
  20. T

    Kifo cha retired major generali James Luhanga

    hah haya maneno mengine unasema hata huko aendako atakuwa mpiganaji duh
Back
Top Bottom