Search results

  1. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    A sign of fear..
  2. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We return to Premier League action with a trip to Stamford Bridge on Saturday, looking to win four consecutive league games against Chelsea for the first time in our history. Incredibly the Blues have had a different manager in each of those encounters, and Mauricio Pocchetino will be hoping...
  3. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwani kuna Noma gani hapo wakuu..maana Daraja jepesi sana kesho..[emoji41]
  4. lumbi lumbi

    HESLB: Batch One Out Now

    Mkishapewa msikimbie sasa..kuna marehesho baada ya shule.
  5. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapo umenyanyaswa mzee Battle ilikuwa Even Hii
  6. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado kuna vulnerability Naona nyuma maana coz attack zao Bado ni Threat..Partey anahitajika.
  7. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sasa Pale nketiah kufanya nn yaani anajiona offside lakini anachukua mpira..[emoji35]
  8. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nketiah buana [emoji23][emoji23]
  9. lumbi lumbi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    D54F0A0 BP sio dhambi ukiweka hata 100
  10. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Imekuwaje tena ama kaymış?
  11. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Balaa kabisa [emoji23][emoji23]
  12. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yuko Sawa Starboy [emoji294]️ [emoji94]
  13. lumbi lumbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Spurs mtori sana aisee Yaan red card mbili kufunga anashindwa..alitukazia sana ile Game..
  14. lumbi lumbi

    Nachopendea pombe kali zinaleta njaa

    Mkuu hapa mimi ni shahidi asie wa mchongo, Nikiwa Niko neutral appetite kwangu inakuwa chini sana ila nikipata kali chupa moja tu Nakula kama Mchwa.
  15. lumbi lumbi

    Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

    Mwanaume ikifika kwenye eneo la Papuchi huwa anakuwa hana sense yaani Hakuna akili hapo. Kwahiyo kwa ushauri wangu msamehe tuu huyo ni mume wako.
  16. lumbi lumbi

    Benki Ongezeni Hili kwenye ATMs zenu

    Wazungu Ndio wanaotengeza hizo mashine sasa hiyo laki 4 ya kibongo kwa Dola 100 ni Sawa na kutoa dola elfu 4000 Kwahiyo nafikiri wakati wanadesign waliangalia pesa yao, bila kuangalia thamani ya pesa Kwa nchi na Nchi. So kunatuumiza ni value ya pesa yetu Iko chini na sio Mashine za ATM’s
  17. lumbi lumbi

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

    Maana yake Ndio hatari zaidi:: The prosecution must convince the jury that there is no other reasonable explanation that can come from the evidence presented at trial.
Back
Top Bottom