Search results

  1. vusile

    Epukeni kuomba kazi za bright monday. Nyingine deadlines zimeshapita ila wao wanazitangaza

    BrighterMonday wako online sasa kupitia Facebook! Unaweza kuwauliza maswali yote hapo juu >
  2. vusile

    If you wanna laugh...

    Hahahahahahahah.... hii kali kwa kweli
  3. vusile

    If you wanna laugh...

    Laugh a little: Mchaga alidondoka kwenye kisima cha maji, akapiga kelele akitapatapa. Mkewe akaja na kamba mpya akamshushia. Mume akauliza, umenunua shilingi ngapi? Mke akajibu, buku pale kwa Swai. Mume akamwambia, irudishe haraka, nenda kwa Masawe anauza jero tu. Fanya haraka aisee, nitazama.
  4. vusile

    Muongo akihadithia

    Hahahahahahahahaha! Hii kali kwa kweli!
  5. vusile

    Dr. Slaa kasema Kweli ndio maana hajafikishwa mahakamani!

    Hivi, hawa watu hawachoki kutuibia watanzania maskini?
  6. vusile

    Maswali ya watoto bwana.....

    Hahahahahaha, the father must have been an IT specialist!
  7. vusile

    Kwanini PCM wengi wanaenda commerce na BAF?

    Nadhani nashawishika kukubaliana na wewe. Kwa kweli watu wengi wameacha kufuata interest na kuamua kufuata hela. Yaani pesa ndo imekuwa interest yao. Hii inatokana na mambo mengi lakini, changamoto za kiuchumi, lakini pia, nahisi uzalendo uliopungua, labda kutokana na watu kukata tamaa na...
Back
Top Bottom