Search results

  1. Tanganyika1

    Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

    Mmmh huu Uzi wakutunga. CD imeruka sehemu nyingi sana. Halafu usitudhalilishe, hakuna mwanaume boya hivi.
  2. Tanganyika1

    Naomba ufafanuzi kuhusu ununuzi wa magari yaliyotengenezwa kabla ya 2010

    Habari wadau. Nilimuona Waziri Mkuu akikemea pale Bandarini juu ya idadi kubwa ya magari yaliyoingizwa nchini ilihali mengi yametengenezwa chini ya mwaka 2010 na akasema anashangaa magari hayo yameruhusiwa na TBS wakati sheria inakataza. Hivi hii inekaaje? Inamana kwa sasa huwezi kuagiza gari...
  3. Tanganyika1

    Nauza Adsense Account

    Tayari nimeuza account ya Adsense kwa bei ya kusukuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Tanganyika1

    Mwanaume wa Dar awachana maex zake bila kificho Instagram

    Kaka jipige kifuani sema “mimi ni kiwembe”@Miss Natafuta,
  5. Tanganyika1

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Aisee tangu asubuhi hakukaliki. Sijui kuna nini jamani eeeh
  6. Tanganyika1

    Naombeni dawa ya usaliti

    Tunaomba mrejesho tafadhali. Umefikia wapi bwana Emma?
  7. Tanganyika1

    Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

    Hii ni theory au kweli kuna mtu amewahi fanya? Hivi mwanaume ambaye ameshawahi kulala na mwanamke na ni mzima wa afya anawezaje kukaa miaka 2 bila kufanya mampenzi? Au wakati unamwangalia hiyo miaka miwili pembeni una mchepuko wako? Jamani kama hatuna ushauri mzuri tuache hizo za Alinacha...
  8. Tanganyika1

    ADSENSE NON HOSTED INAUZWA

    Account bado ipo?
  9. Tanganyika1

    Natafuta Adsense Accaunt Mwenye nayo tuwasiliane Call...0718972977..or 0754366327

    Biashara ya magendo hiyo huitaji kuelekezwa humu.
  10. Tanganyika1

    Mtambue mtu mwenye Jini Mahaba kwa njia hizi

    Kiberiti upele na karafuu maiti...hahahahahaha Huu ni uchawi sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Tanganyika1

    Mwanaume changia hapa, mwanamke atakayekupa like zama naye PM

    Nina mashaka sana inaweza tokea akalike kwa mwanamke mwenzake.
  12. Tanganyika1

    Daraja la Aga Khan sawa, ila malipo hapana

    Wasipotoza pesa itakua double standard unless waondoe na ile ya kigamboni. Otherwise wacha tu watoze kama ukiona gharama kubwa zunguka.
  13. Tanganyika1

    Bernard Membe amfungulia Kesi Cyprian Musiba na Gazeti lake

    *Membe amburuza Musiba kortini* Na Ansbert Ngurumo Decemba 22, 2018 WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, Bernard Membe, amefungua shauri mahakama kuu dhidi ya Cyprian Musiba akimtaka alipe mabilioni ya fedha kwa kumchafua. Shauri hili tayari limesajiliwa Mahakama Kuu...
  14. Tanganyika1

    Bernard Membe amfungulia Kesi Cyprian Musiba na Gazeti lake

    Kwahiyo hapo hakuna kesi kwa kukosekana hiyo 's' au!!?
  15. Tanganyika1

    Nimeacha kazi leo

    Hahahahahah kwani yeye ndo anataka kusaka wateja kwa ajili ya wenzake..... Nakumbuka nilifanya kazi ya sales nikaacha kazi baada ya siku 52 tangu kuajiriwa.
  16. Tanganyika1

    Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

    Guys subiri kwanza....! Mimi nafuga kuku wa mayai....wewe unafanya biashara gani? Hebu tuanzie hapo
  17. Tanganyika1

    Apps 10 ambazo lazima utumie kwenye simu yako

    Nashangaa Jamii forums haipo kwenye list
  18. Tanganyika1

    Guu na kikuku cha Dada Beef Lasagna vinaniacha hoi kabisa

    Duh hii hatari kweli kweli Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom