Search results

  1. B

    Dk. Slaa aligoma kwenda Lushoto kwasababu ya urafiki na Mzee Makamba uchaguzi mkuu 2010

    wewe acha uongo hiyo ni propaganda hakukuwa na mawingu wala mvua. na kama ni hivyo mbona alifwata kwa gari akagoma kwenda.
  2. B

    Dk. Slaa aligoma kwenda Lushoto kwasababu ya urafiki na Mzee Makamba uchaguzi mkuu 2010

    acha uongo bro. babu aliishia korogwe, mheza na tanga mjini basi. usiwadanganye watu. makamba na slaa ni marafiki wakubwa nje ya siasa.
  3. B

    Ibada rasmi ya kumuombea Dr. Mvungi - Nov 5, 2013

    Ndugu watanzania kesho jumanne saa 10:00jioni tutakuwa na ibada kanisa kuu la Mt.Joseph Posta mpya kutafanyika ibada maalum ya kumuombea ndugu yetu Dr.Mvungi ili apate nafuu katika maumivu aliyonayo na Mungu amsaidie apone haraka. viongozi wa dini mbalimbali watashiriki, vyama vya siasa, asasi...
  4. B

    Viongozi wa CCM, SAU, CHADEMA na APPT-Maendeleo wajiunga NCCR-Mageuzi

    Leo makao makuu ya chama cha NCCR-Mageuzi Naibu Katibu Mkuu taifa wa chama cha SAU ndugu MCHATA, Katibu wa Chama cha APPT-Maendeleo mkoa wa Tanga ndugu Manyeko, Mwanachama wa CHADEMA ndugu Lilian na Kiongozi wa CCM wamejiunga na chama cha NCCR-mageuzi mbele ya waandishi wa habari leo mchana na...
  5. B

    Mbatia,yupo chuo kikuu SAUT anatoa mada

    Mwenyekiti WA chama cha NCCR-Mageuzi Leo yupo chuo kikuu cha Mt.Augustino(SAUT-Mwanza) katika kongamano la Maambukizi ya VVU NA UKIMWI kwa wanafunzi WA elimu ya juu, kikubwa alichosema ni umaskini wetu ndio unaosababisha kupata UKIMWI pamoja NA mfumo mbovu WA elimu unaosababisha vijana kuiga...
  6. B

    CHADEMA, NCCR-MAGEUZI NA CUF someni hapa

    NASHUKRU CHADEMA,NCCR-MAGEUZI na CUF MMEFATA MAONI YANGU KUTOKA KWENYE MAKALA YANGU ILIYOTOKA GAZETI LA FAHAMA LA FEBRUARY 2013,Nimechukua swali moja tu kati ya maswali 15 niliyojibu siku hiyo; 1.Unaelezeaje siasa za vyama vya upinzani nchini kwa ujumla, unadhani vinalenga ukombozi wa...
  7. B

    NCCR-Mageuzi wajipanga kumpokea LOWASA.

    kuna taarifa kuwa waziri aliyejiudhuru edward lowasa akipigwa chini kura za maoni CCM 2015 atajiunga na chama cha NCCR-mageuzi ili kugombea nafasi ya urais, kutoka ndani ya habari mazungumzo yameanza kufanyika.
  8. B

    CHADEMA na CCM vifutwe vinavuruga amani ya taifa

    Tanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green guard hawa nao CHADEMA wana Red brigadi, je ni majeshi au ni vikundi? je katiba ya nchi inaruhusu...
  9. B

    NCCR- mageuzi waja na kali ya mwaka.

    Chama cha NCCR-Mageuzi kiko mbioni kuja na mbinu mpya ya kujenga umoja wa watanzania bila vurugu, mkakati huu unatazamiwa kuanza mapema mwezi wa oktoba 2013, tega sikio na macho.
  10. B

    Aliyekuwa KATIBU WA BAVICHA/chadema MKOA WA MWANZA AHAMIA NCCR

    Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema(BAVICHA) mkoa wa Mwanza amejiunga na chama cha NCCR-Mageuzi katika mikutano ya kampeni za udiwani zinazoendelea kata ya Nyampurukano wilayani Sengerema. Pichani akikabidhiwa kadi na Katibu wa Habari na Uenezi Taifa, kitengo cha vijana wa Nccr-Mageuzi, pia...
  11. B

    RPC agonga mwamba kutaka kuzuia Matembezi ya AMANI ya NCCR-Mageuzi.

    Katika hali isiyo ya kawaida OCD wa kahama leo asubuhi alitaka kuzuia matembezi ya Amani akidai eti yanaweza kusababisha vurugu, hata hivyo Mh.Mbatia aliwasiliana na RPC mkoa wa Shinyanga na kufikia kuruhusu kuendelea na matembezi hayo ya Amani. hata hivyo OCD alidanganya kwamba ameagizwa kutoka...
  12. B

    NCCR-MAGEUZI waiteka KAHAMA jana Jumapili

    katika hali isiyo ya kawaida Chama cha NCCR-mageuzi kimeiteka jana wilaya yakahama nakusababishagumzo mjimzima, ziarayachama hichi inaitwa OPERESHENI UZALENDOAMKA KAHAMA, ikiongozwa na ndugu Deogratius Kisandu na Hemed Msabaha mjumbe wa halmashauri Taifa NEC ya NCCR_mageuzi. maelfu ya wanakahama...
  13. B

    NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

    Yaani wewe ndio mbulula kabisa, Machali alipata kura ngapi dhidi ya mgombea wako wa CHADEMA. Ok, 1995 tulianguka sawa, 2010 CHADEMA mlianguka, tumelingana, sasa zamu yetu tena. WEWE unafanya siasa za upepo ndio maana unatumika kama pedi.
  14. B

    NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

    UMELISHWA LIMBWATA WEWE. dume zima hata aibu huoni.
  15. B

    NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

    mipaka ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na majeshi yake yote.
  16. B

    NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

    wivu wa kijinga.
  17. B

    NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

    Mbona hampendi kusema kama tuna wabunge mnakimbilia kura za Urais? KUga alikuwa 4 anawabunge wangapi?
  18. B

    NCCR-MAGEUZI chama MAKINI kushika dolla 2015

    Dolla ni kumiliki majeshi kama Polisi, mgambo,magereza,JWTZ na wewe.
Back
Top Bottom