Search results

  1. ladyfurahia

    Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    HAMJAMBO WADAU Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo. Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu. Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni? Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale...
  2. ladyfurahia

    Nafanya usajili wa Kampuni, jina la biashara na mengine yanayohusu biashara

    Habari wadau, Ninatoa huduma za Usajili wa Makampuni BRELA A] usajili wa Jina la Biashara b] usajili wa kupata cheti cha kuzaliwa toka NIDA C] kutengeneza company profile na annual report d] tunatayarisha memorandum and article of association e] tunadesign business card, stickers, logo's, f]...
  3. ladyfurahia

    Tunaprint tshirt, caps, uniform za shule, calendar na diaries za 2024

    Habari zenu wadau Habari Onana nasi NESSA PRINTING kwa huduma zifuatazo kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING): Calendar, Diaries, Tshirt(Embroiders. Computarize, Screen printing) Mugs, Stickers, Posters, Magazines, Annual Reports, Books (such as: Proforma invoice, Receipts...
  4. ladyfurahia

    Ninatoa huduma za uchapishaji (printing) calendar, diaries na tshirt

    Habari zenu wadau Habari Onana nasi NESSA PRINTING kwa huduma zifuatazo kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING): Calendar, Diaries, Tshirt(Embroiders. Computarize, Screen printing) Mugs, Stickers, Posters, Magazines, Annual Reports, Books (such as: Proforma invoice, Receipts...
  5. ladyfurahia

    Mshukuru Mungu kwa kila jambo

    Habari wadau wote Kuna nyakati mbalimbali tunazopitia katika maisha yetu ziko nyakati za furaha , huzuni, kicheko, kupata na kukosa kuwa na kitu ama kutokuwa nacho, kuwa pekee au kuwa na watu, kuwa mtu wa juu ama wa chini yote katika maisha yapo hivyo huna budi kupambana na kujifunza na...
  6. ladyfurahia

    Jitambue kuwa uko deadline

    HABARINI WADAU Muda mwingi nakuwa mtazamaji na msomaji wa thread za wadau humu ndani sijaweka chapisho kwa muda sasa tplakana na kubanwa na shughuli nyingi sana za kijamii Leo napenda kuongelea jambo moja ambalo ni "KUJITAMBUA KUA UKO DENJAZONE" mwanadamu tumeumbwa tofauti sana wako wenigine...
  7. ladyfurahia

    SoC03 Uwajibikaji mahali pa kazi

    HABARI WADAU Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili hapa jukwaani. Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete chachu ya maendeleo na kukua kwa uchumi kwa jamii inayotuzunguka na eneo uliilopo na hata kwa mtu...
  8. ladyfurahia

    Another year and another blessing happy birthday to me

    Habarini Wadau wangu wa nguvu Ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele ingawaje nina kahoma na kifua kuuma [sijui ndo korona hii shindwa} nafurahia kufikia siku hii muhimu...
  9. ladyfurahia

    Happy birthday sweet Chachu Ombara

    Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu) Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa. Chachu jisikie kupendwa kwa namna hii hata kama hujaona...
  10. ladyfurahia

    Wanapeana wenyewe kwa wenyewe

    Habari wadau, Hizi zama zimebadilika sana, huwezi kuona mtu wa hali ya chini akawa afisa maendeleo kata, ama huwezi kukuta mtu akimegewa mkate ulionona ilihali na yeye amezama akabukua na kutoa matirio mazuri ila sasa kwenye mgawanyo hukosa hata soko lake. Je, kuna ulinganifu hapo jamani ndo...
  11. ladyfurahia

    Jifunze kwa wengine waliofanikiwa nawe utatoboa kimaisha

    Habarini wadau wangu, Natumai mko vyema na mnaendelea na majukumu yenu ya kutafuta ugali wa kila siku. Ni bora leo tukaongelea jambo hususani lenye kuleta tija katika mstakabari wa maisha yetu. Je, kwanini unasema maisha yamekuwa magumu, vitu vimepanda kama ndege angani ilahali bado uko...
  12. ladyfurahia

    Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    Habarini wadau wa hapa. Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi. Karibu sana.
  13. ladyfurahia

    Naombeni Kufahamishwa Soko la Mbaazi

    HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
  14. ladyfurahia

    SoC02 Kusitasita na hofu kunapelekea usiweze kufika katika hatma yako

    Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika mstakabali wa maendeleo yao.Pale watakapochukua hatua ya ziada kuondokana na hali ya kusitasita na woga...
  15. ladyfurahia

    Happy birthday to me

    Habarini ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele na kunilinda na mabaya yote ingawaje safari kuna vikwazo vingi ila muumba Mbingu na Nchi amenivusha nafurahia kufikia siku...
  16. ladyfurahia

    Happy Birthday my dear Chachu Ombara

    AISEE HII KALI YAANI KUSAHAU GANI HUKU AU NDO NIMEUPIGA MWINGI Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako MY DEAR wa kumoyo Basi wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr...
  17. ladyfurahia

    Kujulikana ni raha au karaha?

    Habarini wadau wa humu. Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha? TIRIRIKENI WADAU hapa. Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito. Wasalamu Ladyf
  18. ladyfurahia

    Siku ya Waalimu duniani: Ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako

    Habarini Wadau Leo ni siku ya WALIMU DUNIANI. Je ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako iwe kukupatia elimu nzuri na bora, ama iwe chochote alichokifanya juu yako mpk uko hivyo ulivyo. Wadau tiririkeni mambo mnayokumbuka pindi mlipokuwa shuleni/vyuoni au pindi mlipo sasa...
  19. ladyfurahia

    Nimerudi tena

    HABARI Wadau muwazima Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza Khantwe lady general na wengine wengi mpaka...
  20. ladyfurahia

    SoC01 Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu

    JE, UNASITA KUFANYA KITU TOKANA NA WASIWASI NDANI YAKO? Hofu/mashaka/ wasiwasi unatufanya tusiendelee mbele na unatudumaza tunabaki vilevile tungali masikini na unaleta umaskini ndani yetu na kubaki vilevile tu bila hata kudhubutu kutenda jambo kuu katika Maisha yetu. Tufanye nini sasa iili...
Back
Top Bottom