Search results

  1. ladyfurahia

    barua ya wazi kwa ben saanane

    nyie watu mmepotea sana humu umemwachia nani hapa rudini basi
  2. ladyfurahia

    barua ya wazi kwa ben saanane

    nakusaka ndugu yangu uko wapi jamani maana kitambo huko kweli ulimwenguni hapa?
  3. ladyfurahia

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    asante sana ngoja nilifanyie kazi nadhani itanisaidia asante sana
  4. ladyfurahia

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    duu unatushauri nn sisi ambao hasa mm huwa nakuwa na kazi nyingi mpaka usiku sana sipati usingizi wa kutosha na naamka alfajiri sana kuwahi job nifanyeje mkuu kwa hasa hupande huu wa kupata usingizi
  5. ladyfurahia

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    > When you burn down old one, new thing grow up. hiyo signature imenifanya nivutiwe nayo
  6. ladyfurahia

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    samahani kwani simu na muda huwa zinaathiri ubongo au inakuwaje mtalaam?
  7. ladyfurahia

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    pole basi tatizo lako liko kisaikolojia zaidi mwombe Mungu akusaidie au waweza kwenda kwa watalaamu wa saikolojia uwaeleze watakusaidia kwani kila mwanadamu ana shida anazopitia bali wanajitia nguvu na kusonga mbele hivyo be strong na onana na hao watalamu
  8. ladyfurahia

    Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

    umefukua mafile ya zamani best habari yako
  9. ladyfurahia

    Baada ya biashara ya urembo wa magari sasa nipo natazamia hizi zifuatazo.

    ngoja nikae mkao wa kutulia na kupata kitu hapa
  10. ladyfurahia

    Tunaprint tshirt, caps, uniform za shule, calendar na diaries za 2024

    karibuni sana tena sanaaa karibuni tena
  11. ladyfurahia

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    samahani uko wanakopesha pikipiki nielekeze nahitaji pikipiki
  12. ladyfurahia

    Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    bora wewe uliyeshangaa maajabu ya musa
  13. ladyfurahia

    Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    aiseeee hongera kwa kujua hilo ingawaje umechemka
  14. ladyfurahia

    Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    hhahaaahahaaaaaaaaaaaaaa aiseee asante nimefurahi
  15. ladyfurahia

    Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

    HAMJAMBO WADAU Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo. Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu. Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni? Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale...
  16. ladyfurahia

    Biashara ya nafaka Dar ipoje

    umeongea point sana sasa kama mtu anataka kuja uko mkoa gani wewe ili tuje
  17. ladyfurahia

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    kaka mshana alikuwa anawaunga watu wajasiriamali kwenda china sasa jaribu kuonana nae kama wameshasafiri au la au ujue utaratibu wao
  18. ladyfurahia

    Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    hongereni wanawake wote wa humu jf bila kuwasahau wakaaribu. charming lady, Lady doctor, lady kasagule firstlady na malady wote wa hapa UJUMBE Tupambane kutafuta ridhiki tusijibwete, tujitume na tuwe na juhudi kwani ndo nguzo ya familia mwanamke ukielimika, ukijituma, na kupambana utaokoa...
Back
Top Bottom