Search results

  1. T

    Uwazi wa Rais Magufuli unawatesa sana akina Ansbert Ngurumo

    Nimeona 'Tweet' ya Ansbert Ngurumo akikosoa hatua ya mtuhumiwa Wa uhujumu uchumi kurudisha pesa zikiwa kwenye maboksi na utaratibu wa rais Magufuli kuwasaidia wananchi mbalimbali anapokuwa katika ziara mbalimbali za kikazi. Kinachowasumbua NGURUMO na watu wengine Wa aina hiyo ni uwazi Wa Rais...
  2. T

    Hakuna mazingira yanayofanya iwe halali kupindua nchi na kuuondoa uongozi uliopo madarakani kwa nguvu bila uchaguzi

    Nimesoma Makala iliyoandikwa kwenye Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums na mtu anayejiita SYNTHESIZER yenye kichwa cha habari "Kuna Mazingira yanafanya iwe halali kupindua nchi na kuondoa uongozi uliopo Madarakani kwa nguvu bila uchaguzi. Makala hiyo ambayo ilitolea mfano wa hatua...
  3. T

    Zitto kwa roho yako ya korosho, ungekuwa Rais tusingewauzia Zambia mbegu za korosho

    Tarehe 06/10/2019 Rais Magufuli aliahidi Tanzania kuipatia Zambia tani 25,000 za mbegu ya Korosho baada ya Rais Wa nchi hiyo Edgar Lungu kuomba Tanzania iwauzie tani 50,000. Kufutia ahadi hiyo ya Rais Magufuli, Zitto Kabwe aliibuka na kuandika kwenye akaunti yake ya Twitter kuwa Rais Magufuli...
  4. T

    Uchaguzi Serikali za Mitaa; Zitto Kabwe adaiwa kujiandikisha mara mbili

    Mbunge Wa Kigoma Mjini na Kiongozi Wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe anadaiwa kujiandikisha Mara mbili katika uchaguzi Wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24 , 2019. Zitto anaonekana akiwa katika vituo viwili tofauti vya kujiandikisha, Masaki Jijini Dar es Salaam na...
  5. T

    Rais Magufuli: Siondoki Mpanda bila kuona ATCL inafanya safari zake kuja hapa

    Rais Magufuli: Nakuagiza Waziri, waambie ATCL hata kama ni mara moja waanze kuja hapa Mpanda, na mimi sitoki hapa bila kupanda ATCL. Hakuna kisingizio cha kutoleta ndege, vyote vilivyokuwa changamoto tumevimaliza.
  6. T

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    1. Ni kama mti wenye matunda matamu , lazima upigwe mawe. 2. Ni kama Dhahabu, ili iitwe dhahabu sharti ipitie kwenye tanuru la moto 3. Ni kma Nabii asiyekubalika nyumbani bali ugenini Mawe na Tanuru la moto ni akina Nani? 1. Wapiga madili wote ambao mirija ya madili hayo imekatwa na Magufuli 2...
  7. T

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) na Wakurugenzi wa Halmashauri

    Rais Magufuli amefanya utezi wa 1. Wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa na Wilaya. 2. Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). 3. Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocal) 4. Uhamisho wa Wakurugenzi wa Halmashauri.
  8. T

    Dar: Kamanda Zuberi Chembela aeleza, jambazi wa muda mrefu alivyouawa Ilala

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni jambazi, ameuawa kwa kupigwa risasi katika majibizano ya risasi na Jeshi la Polisi, tukio lililotokea majira ya saa 7:30 mchana eneo la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi wa Ilala, Zuberi...
  9. T

    Team Lissu yaangukia pua dhidi ya team Mbowe uchaguzi Mbeya Mjini, Sugu ashauriwa kuyakataa matokeo

    Kundi la Mbowe lampiga chini kibaraka wa Tundu LISSU kwenye uchaguzi wa Chadema Mbeya mjini. Baada ya hayo, Sugu aomba msaada kwa LISSU na kushauriwa apinge matokeo na kuondoka. Matokeo aliyopewa Mbowe leo. *Katibu BAVICHA* ni BENJAMIN MWAKALINGA - Kura zote 79.Hakuwa na mpinzani. *Mweka...
  10. T

    Tamasha la utamaduni kwa nchi Afrika Mashariki (jamafest) uwanja wa taifa

    Tamasha la Utamaduni kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST 2019) linaendelea Uwanja Wa Taiga jijini Dar es Salaam. Tembelea Tamasha hilo ujionee mambo mengi ya kiasili zikiwemo ngoma, maonesho ya bidhaa za asili, Wanyama Pori,vyakula vya asili zikiwemo nyama choma za Mamba, Swala...
  11. T

    Ngeleja: Nina faraja baada ya kusamehewa na Rais

    Dodoma. Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja leo Alhamisi Septemba 12, 2019 amezungumza kwa mara ya kwanza tangu Rais wa Tanzania, John Magufuli alipotangaza kumsamehe pamoja na mwenzake, January Makamba (Bumbuli). Ngeleja amezungumza bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa muswada wa...
  12. T

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azungumza Mkutano Wa TICAD 7

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipochangia mada kuhusu kuimarisha amani na utulivu Barani Afrika katikati mkutano wa saba wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo katika Bara la Afrika (TICAD 7) uliohitimishwa jana kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifiko Yokohama nchini Japan...
  13. T

    Msemaji wa Serikali: Hakuna wa kumkwamisha Rais Magufuli

    Heshima na hadhi ya Tanzania Kimataifa imeendelea kupanda kutokana na nia njema na kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa...
  14. T

    Rais Dkt.John Magufuli Na Mkewe Mama Janet Magufuli Leo 01/09/2019 Wameshiriki Misa Takatifu Katika Kanisa Katoliki La Mtakatifu Petro Oysterbay

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth , Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la...
Back
Top Bottom