Kwema hapo wakuu
mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork.
Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya).
Kazi...
Poleni kwa kazi wakuu hapa ndani,
Toka mkataba/ makubaliono ya URT na DUBAI uvuje kumekuwa na kelele nyingi sana mitandaoni hadi mtaani. Kuna wale wanao elewa nini kina zungumzwa na kujadiliwa na kuna wengine hawaelewi kitu. Wanachojua tu bandari imeuzwa kwa waarabu.
Mara nyingi kama kuna...
Yaani nipo mkoa x wa pwani ya Tanzania watu wahuku ni hatari kwaumbea, kupigana na kurogana, watu hawa wote ni majirani zangu na wate waabudu dini ya mudi.
Me nimejitokea mkoani huko ambako kila mtu hana time na mwenzake, wapo vizuri kwa kulazimisha urafiki ili wapate kukusema vizuri na...
Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course...
Modes naomba msiunganishe thread yangu na mtu yeyote
Kwa miongo mitano aliyojihusisha na fasihi, Sir Salman Rushdie si mgeni na vitisho vya kuaawa anavyokabiliwa navyo kutokana na kazi yake.
Mwandishi huyu wa riwaya ni mmoja kati ya waandishi wa Uingereza wanao pigiwa upatu na aliye na...
Jamani kwema
Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote), nchi kavu na angani
Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢...
'Kumbuka jambo moja, hakuna mtu ambaye siwezi kumnunua au kumharibu nikitaka.'
Haya ni maneno ya mfanyabiashara tajiri zaidi Marekani wakati mmoja. Jina lake ni Howard Hughes na ulimwengu unamfahamu sio tu kama mfanyabiashara wa viwanda, mtafiti, mtengenezaji wa filamu, shujaa wa zama mpya...
Nb:Naomba mods kuheshimu thread za watu, kazi yenu isiwe kufuta au kuunganisha thread za watu, sometime mnakera kinyama
Dunia haijawahi kuwa na wasiwasi kuhusu kahawa.
Iwe tunakunywa kikombe kimoja cha kuamka asubuhi, espresso baada ya chakula cha mchana au cappuccino jioni, hatujawahi kutumia...
Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow.
Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
Kwa msaada wa bbc
Miaka 110 iliyopita, Titanic iligongana na mwamba wa barafu wakati wa usiku wa giza. Wakati huo abiria wengi walikuwa usingizini.
Wakati ajali hiyo inatokea, meli ya Titanic ilikuwa ikitoka Southampton, Uingereza kuelekea New York, Marekani, kwa mwendo wa kilomita 41 kwa saa...
Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku
Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau...
Unachofaa kujua ni kwamba Israeli inabaki katika hali ya ukosefu wa usalama kwa sababu ya kukosa kuafikia amani ya kudumu na majirani zake.
Hilo limedhihirika kutokana na machafuko ya kila mara katika sehemu za Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza hatua inayomaanisha kwamba Yerusalemu...
Mwishoni mwa miaka ya 1990, Saddam Hussein alimwendea mpiga picha akiwa na ombi la kushangaza.
Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibakia kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo 2003. Alitaka kutengeneza nakala ya Kitabu kitakatifu cha Qur'an kwa...
Kwa msaada wa bbc
AK-47 na M16 ni bunduki mbili kati ya zinazotumika sana ulimwenguni.Mizozo mingi ya kivita hasa barani Afrika imehusisha matumizi ya bunduki hizi na hata sasa katika sehemu zinazoshuhudia machafuko kama vile nchini Msumbiji,Somalia na Jamhuri ya kati mwa Afrik bunduki hizi zipo...
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini.
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
Habari za kazi wa kuu katika jukwaa langu pendwa, kwanza natoa pole kwa member wote kwa kuondokewa na mtu muhimu katika jukwaa hili warumi simfaham sura ila kwa taarifa nilizo pata ni home boy kabisa.😭😢
Mimi nimdau wa mziki wa Afrika wa kizazi kipya kwa kitambo kirefu toka miaka ya 90 mwishoni...
Kama kichwa cha habari kinavo jieliza, nimeona habari moja toka BBC kuhusu raia wa Afrika magharibi sana sana Nageria wanaojilipua na kuvuka mpaka kwenda America japo kuwa njia ni hatari sana kwani watu wengi wanafia njiani na wengi pia wanafanikiwa kufika.
Njia wanazopita
Safari inaanzia...
Leo nimepia mitandao mbalimabli ya kushare experience ya maisha ya watu tofauti tofauti nimeanzia hapa JF nikaenda quora namitando mingine mingi kuangalia jinsigani watu wengine wanaishi, wanapataje kipato wana invest kwenye nini ili tu kufika kwenye malengo yao walio jiwekea. sina umri mkubwa...
Nakumbuaka 2009 kushuka chini hadi2003 nilikuwa mpenzi wa sitasahau radio pendwa enzi izo RFA ,nilikuwa napenda hadi nilikata moto wakwenda kanisani kisa sitasahau nakumbuka nyumbani walikuwa wananiita mapagani sikwenda kanisani miaka 3 mfulurulizo cos kila j2 mimi na radio na nilikuwa sisikilzi...
Nakumbuka 2007 kwenye gazeti la udaku la MAISHA nilikuwa nafuatilia sana ila sikuimalizia hadi mwisho.
Anaweza Ku share nasi jamani
Gazeti lilikuwa linatoka j5 kila week kama sikosei
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.