Search results

  1. Sumu kali

    Tv yangu TCL Smart Tv inch 40 imepigwa shoti haiwaki

    Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua. Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
  2. Sumu kali

    Mpenzi wangu baada ya kufika chuo anataka baada ya miaka 4 ndiyo nimuoe

    Habarini wana jamvi, Kama mada inavyojieleza, nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na bint mmoja wa kimakonde yapata mwaka mmoja na nusu sasa, mwaka jana alijiunga na chuo kimoja akisomea certificate ya record management. Kwenye uhusiano wetu tulipanga mwaka huu baada ya kumaliza masomo yake...
Back
Top Bottom