Search results

  1. Mwanambugulu

    Nauza mpunga upo mkoani Tabora

    Kama kichwa kinavyoeleza Hapo naunza mpunga mzuri, upo Tabora gunia za debe saba zipo gunia za kutosha hata kama unahitaji magunia 400 hakuna shida Bei ni shilingi 65,000 tsh kwa gunia Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba 0620 466 351 Karibuni.
  2. Mwanambugulu

    Shamba linauzwa

    Habari wakuu Shamba linauzwa ni robo Tatu ya heka lipo tukuyu mjini MbeyA Shamba Lina Miche ya maparachichi ya kisasa ipatayo 70 ni kipo sehemu nzuri na limetunzwa ipasavyo Miche ina mwaka mmoja na ipo usawa wa magoti inaendelea vizuri sana Bei ni kuanzia million 8 na mazungumzo...
  3. Mwanambugulu

    Elimu isiyo rasmi

    Wakuu habari zebu? Niende moja kwa moja kwenye Mada Nchi nyingi sana hasa ambazo hazina maendeleo Makubwa zimewekeza sana katika mfumo wa elimu ambao ni rasmi yani mtu anaenda shule anafundishwa lakini dhumuni kubwa ni kuja kuitumikia ile elimu katika nyanja mbalimbali hapa namaanisha...
  4. Mwanambugulu

    Msaada wa ''business plan''

    Habari zenu wakuu? Natafuta mtu anaweza kuniandikia business plan ya uhakika kabisa Naomba unitafute pm na maelezo mengine yatapatikana huko Thanks in advance
  5. Mwanambugulu

    Natafuta soko la hiriki na pilipili manga

    Wakuu habari zenu wakuu? Poleni na mihangaiko Naomba kujuzwa soko zuri la hiriki na pilipili manga hasa ndani ya nchi maeneo kama unguja, mombasa,dar as salaam. Naomba kujuzwa bei ya sokoni hasa kwa ujumla Nina mzigo wa kutosha kutoka tanga kologwe shambani natoa saizi hiriki Natumai kuna...
  6. Mwanambugulu

    Wakuu tupige kazi pia tuweke malengo ya uhakika na pia vijana tupunguze anasa

    Wakuu habari za mida hii? Niende moja kwa moja kwenye mada Baada ya kuweka vyeti ndani tena uvunguni kabisa (namaanisha degree) hili nimelifanya ni kwa sababu ya kukosa ajira na kuzunguka sana basi hayo ndio maamuzi niliyoyafikia. Sasa nikaingia mtaani rasmi na kuanza pilika pilika za hapa na...
  7. Mwanambugulu

    USA vs CHINA labda ni mwanzo wa kupishana katika ubabe wa dunia

    Wakuu hivi huu mvutano uliopo kati ya USA na uchina vipi unausababishwa na ubabe tu au kuna namna ingine? Trumph anapiga mikwala sana kuhusu kuipandisha kodi kwa bidhaa zinazoingia USA from China lakin cha ajabu china nae anavimba yani hataki kushuka yani anahakikisha analipiza neno kwa neo...
  8. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuondoa msongo wa mawazo

    Wakuu habari za muda huu? Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa late 20's nilimaliza shule mwaka 2014 lakin paka leo sijapata ajira rasmi zaidi ya kuunga unga tu na mission town za hapa Dar es salaam Mzee wangu ni mkulima pia mama ni mkulima nina dada na ma kaka bahati mbaya wote...
  9. Mwanambugulu

    Jamaa kajinyomga baada ya kubeti

    Ni jamaa kutoka Uganda ameamua kujitia kitanzi baada ya kubet kwa hela za kampuni
  10. Mwanambugulu

    Mishahara wanayolipa wahindi haikidhi gharama za maisha wala kufidia nguvukazi ya wafanyakazi wao

    Bila kupoteza muda nimefanya kautafiti pori kidogo nimegundua mshahara au posho za watu wanaofanya kazi kwa wahindi huwa ni mishahara mbuzi(midogo sana) yani ambayo haikizi kabisa gharama za maisha Mfano kuna kiwanda maeneo ya africana pale kibarua anakula 4500 tena anafanya kazi kuanzia saa...
  11. Mwanambugulu

    Taifa ambalo radio zote na tv zinahamasisha kamali

    Wakuu hebu tuongeleee kidogo hii michezo ya bahati nasibu kwangu sio mbaya sababu pia watu wanajipatia kipato na kubadili maisha ila tatizo linakuja pale ambapo radio zote nchini pamoja na tv zinapoongelea na ku promote kamali tena kwa nguvu zote Natolea mfano hawa e fm radio aisee vipindi...
  12. Mwanambugulu

    TPB INTERVIEW

    Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi...
  13. Mwanambugulu

  14. Mwanambugulu

  15. Mwanambugulu

    Naomba msaada kutoka kwa watu waliowahi kufanya usahili TPB

    Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi...
  16. Mwanambugulu

  17. Mwanambugulu

    Habari ndugu zangu

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu nahitaji kazi yoyote tu ili kuweza kumudu garama za maisha swala la malipo wala usiwaze ili mradi nipate nauli ya kwenda na kurudi karudi kazi lengo ni kujenga network na malengo mengine naamini yatatimia kutokana na connection nitkayoipata Kuhusu elimu nina...
  18. Mwanambugulu

    Maswali ya usahili TRA

    Habari zenu wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo kwa wenye uzoefu na interview za tra vipi maswali yanaweza kua kwa upande gani hasa kwa nafasi ya custom officer II pamoja na Tax officer II Naomba kwa wenye ujuzi na uelewa zaidi tusaidiane wakuu Naomba kuwasilisha Sent using Jamii Forums...
Back
Top Bottom