Search results

  1. FaizaFoxy

    Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Uchumi kwa kutambua uongozi wake wa kipekee katika kuendeleza mageuzi ya...
  2. FaizaFoxy

    Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

    Allahu Akbar. Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas. Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa...
  3. FaizaFoxy

    Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote. Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
  4. FaizaFoxy

    ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  5. FaizaFoxy

    Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

    Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao. Kwa mujibu wa Sheikh...
  6. FaizaFoxy

    Siri nzito ya NATO imevuja; Kigogo wa NATO asilimu

    Wakati huu, Siri ya Kigogo wa NATO kua Muislam ipo wazi na sio siri tena. Mkurugenzi wa Habari wa NATO, Dk Murad Wilfried Hofmann. Dr Hoffman, aliukubali Uislamu na kutamka shahada katika Kituo cha Kiislamu cha Colonia kinachoongozwa na Imam Muhammad Ahmad Rasoul. Alizaliwa katika familia ya...
  7. FaizaFoxy

    Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

    Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo. Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi...
  8. FaizaFoxy

    Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

    Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
  9. FaizaFoxy

    FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano. Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima...
  10. FaizaFoxy

    USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

    Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani. Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa. Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha...
  11. FaizaFoxy

    Waarabu wa Morocco Wawashangaza Waafrika

    Baada ya nchi za Kiafrika Mali, Burkina Faso na Niger kutengwa na Waafrika wenzao ndani ya umoja wa ECOWAS na kutiwa adabu ya kufungiwa biashara zote, kufungiwa umeme na huduma zote za kibinadamu hadi chakula. Wametengwa baada ya nchi hizo kupinduwa serikali zilizokuwa zinajineemesha kwa kundi...
  12. FaizaFoxy

    Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

    Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu. Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni. Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda...
  13. FaizaFoxy

    Macho hayadanganyi, toto la kiyahudi lilipokutana na mwanamme wa kweli.

    Transcript (tafsiri kwa msaada wa google). Huyu binti wa kizayuni mateka mmoja, macho hayadanyi, binti ni kweli alishikwa kama mateka na siku anaachiwa videoclip yake hii ikatapakaa kama virusi kwenye mitandao ya kijamii. sababu zipo wazi, macho hayadanga Macho yao hayadanganyi kamwe, na mtu...
  14. FaizaFoxy

    Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
  15. FaizaFoxy

    Wapalestina wamelianzisha huko ukingo wa Magharibi "West Bank"

    Wapalestina kuonesha kuwa wao wote ni kitu kimoja, akiumizwa mmoja wote wanaumia, wamelianzisha huko West Bank. Wapiganaji wa Al Quds Brigades waliolianzisha wanasema halisimami hilo mpaka kieleweke. Vita inaendelea kupanuka. Jana wamezzichapa huko usiku kucha: My take: Netanyau...
  16. FaizaFoxy

    Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

    Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa. Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi...
  17. FaizaFoxy

    Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

    Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu. Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache. Fikiri hasara za...
  18. FaizaFoxy

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  19. FaizaFoxy

    Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

    Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo> Tafsiri kwa msaada wa google. Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti...
  20. FaizaFoxy

    Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

    Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing...
Back
Top Bottom