Search results

  1. Baunsampole

    Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

    Vuta subira hakikisha namba uliyoandika kwenye CV iko hewani muda wote
  2. Baunsampole

    Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

    Najua hali unayopitia kama una degree na uko Dar nenda ofisi za Asa microfinance zipo Upanga peleka CV yako hapo huwa huwa haipiti miezi mitatu au minne bila kuitisha usaili nafasi nyingi huwa ni maafisa mikopo kwa kuanzia utapata channel ya taasisi nyingine pia
  3. Baunsampole

    Anayefanya kazi halmashauri yoyote Dar es Salaam anisaidie kupata nafasi ya kujitolea

    Sikushauri ujitolee halmashauri kwa mfumo wa sa hivi hata ujitolee miaka mitano ajira zote ni ajira portal, pia hakutakuza career yako hamna kazi zitazokufanya ukue kitaaluma ukitaka jaribu private sector
  4. Baunsampole

    Ipi best course ya kuwa Afisa Mipango kwa level ya Halmashauri?

    Kozi zote ulizotaja unaweza kuwa afisa mipango hata kwenye mfumo wa sekreterieti ya ajira zimewekwa category ya planning, ila economics ni nzuri kwa baadaye unaweza hama halmashauri kwenda taasisi nyingine za serikali hata wizarani kwa urahisi kwa nafasi ya afisa mipango . Sent from my TECNO...
  5. Baunsampole

    Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    Huyo jamaa haelewi hajui kutofatisha madaraja mtendaji kata daraja la tatu ni diploma, daraja la pili ni degree Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  6. Baunsampole

    Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    Acha ubishi kuna matangazo baadhi japo siyo mara nyingi wanahitaji watendajii kata daraja la pili tena kwenye tangazo wanaandika kabisa TGS D na mara nyingi yanapitia utumishi na wanachukua waliosoma degree za utawala na sheria Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  7. Baunsampole

    Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    Kuna watendaji kata wenye diploma ambao hao ni watendaji kata daraja la tatu hao salary yao ni TGS C, na kuna watendaji kata daraja la pili,,ambao hao mara nyingi wanachukuliwa wenye degree ya sheria hao wanalipwa TGS D, inategemea na tangazo linahitaji wenye sifa zipi Sent from my TECNO P703...
  8. Baunsampole

    Nimetafuta ajira (kazi) kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote, Naombeni nafasi nijikwamue kimaisha ndugu zangu

    Kama upo Dar , nenda Upanga kampuni ya Asa microfinance wanachukua maafisa mikopo fani yoyote ,drop CV yako pale getini utapigiwa simu kwa ajili ya usaili,,,, Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  9. Baunsampole

    Kuna uwezekano wa kuomba kupandishwa cheo kupitia cheti cha degree kabla ya muda uliowekwa wa kutumikia cheo kimoja

    Serikalini kama ni halmashauri hauwezi kupandishwa daraja kama bado hujathibitishwa kazini pili hata ukithibitishwa kuna kitu kinaitwa ikama yaani upungufu wa nafasi kwenye hiyo idara unayotaka kuomba kama wana upungufu wa kutosha ukithibitishwa tu unaomba kuhamia idarani chap ila kama hakuna...
  10. Baunsampole

    Ajira za Watendaji wa Vijiji; Kwanini watu wenye elimu ngazi za diploma na shahada wanawekwa kando?

    Ukijiendeleza kwa kusoma hutakuwa mtendaji kwa miaka mitano ijayo , na pia utendaji ni ngazi tu ya kuanzia wengi wa watendaji wana bachelor wanatafuta tu cheki namba baada ya miaka miwili wanaomba kubadilishwa kada kuhamia halmashauri
  11. Baunsampole

    Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

    Nipendage tu mayo
  12. Baunsampole

    Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Ingekuwa analipwa huko private zaidi ya milioni tatu ningeshauri abaki huko private lakini kwa mshahara huo wa private aende serikalini kwa TGS D huyo ni mhasibu asiye na CPA hivyo aingie serikalini kisha baada ya miaka michache akasome CPA akishaipata hapo anaweza kupambana kuingia taasisi na...
  13. Baunsampole

    Beer [emoji481] inaweza kukusaidia kwenye Oral interview??

    Gonga nyagi kabisa siyo bia, the rest will tell
  14. Baunsampole

    Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

    Mkuu usikate tamaa mi kazi yangu ya kwanza nilipata 2019 nikiwa na miaka 30 baada ya kusota miaka 4 bila kazi toka nimalize chuo na ilikuwa na mshahara mzuri tu haya 2021 mkataba ukaisha sikuongezewa mkataba , nikarudi mtaani kumbuka hapo nishaanza maisha yangu ya kujitegemea maisha yalinipiga...
  15. Baunsampole

    Kuripoti kazini benki: Je, naripoti kwenye kanda husika uliyoombea na ulifanyia usahili au HQ?

    Kazi kweli kweli au ni benki za wahindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  16. Baunsampole

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana wewe ni mmoja wa mfano wa vijana wapambanaji, hujawahi kukata tamaa pamoja na kukandwa sana hukôm nyuma ulikuwa mhamasishaji mzuri wa mapambano hiyo spirit yako ya mapambano o tuwe nayo wote
  17. Baunsampole

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wana allowance za posho kama yalivyo majeshi mengine ,,,,za katikati ya mwezi ,,,,za vinywaji wana makando kando nje ya mshahara
  18. Baunsampole

    MSAADA: Jinsi ya kuondokana na uraibu wa kupenda makalio makubwa

    Dogo apendaye uzinzi hufa maskini, nenda chuo tafuta dogo mwenzio utulie naye ,,,,malaya hawamwachi mtu salama
  19. Baunsampole

    Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Wanawake ukiwatongoza usiwe serious sana ukiwa serious sana unawakosa ila ukiwatongoza kimasikhara ndo unawala, yaani ukimfata weka ile yaani hata akichomoa potelea mbali, hata huumii lakini ukipania lazima umpate ndo unawakosa. Siku hizi hakuna kutongoza chukua namba panga appointment ila...
Back
Top Bottom