Search results

  1. M

    Toyota Landcruiser URJ202 vs Toyota Prado TXL or VXL

    Wakuu Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi Landcruiser 2013-2017 Prado TXL 2019-2023
  2. M

    TESLA Cybertruck

    Ngoja niendelee kujichangaa nije nimchukue huyu mnyama full Eletrical vehicle Delivery inaanza tar 23 November Wamerakani wanahamu sana kumpanda huyu mnyama Risasi haipenyi Nyundo haivunji na watu mil 1+ wameweka oda
  3. M

    Team Subaru Naomba mnikaribishe na mnipe ushauri

    Ndugu zangu team Subaru naomba mnikaribishe nimehama kutoka Toyota na kuingia Subaru. Nimeagiza Subaru Forester ya 2011 katikati ya mwezi wa tisa inafika. Naombeni vitu vya kuzingatia kwa ubora na uimara wa gari yangu
  4. M

    Msaada

    Naombeni msaada namna ya kujua mtu anayetumia hii namba +255 22 222 1500 maana imekuwa ikinipigia nikiapokea anakata sasa ni miezi miwili. Hadi nimeingia na wasiwasi huyu ni nani na kwanini anafanya hivi. Nikijaribu kupiga simu haiendi ila ananipigia kwa wiki mara 3 sasa nikipokea haongea na...
  5. M

    The best-selling cars by country in 2022:

    Nimeikuta twitter angalia gari lako pendwa linapendwa nchi gani
  6. M

    Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400. Naomba ushauri
  7. M

    Subaru vs Vanguard

    Nimekuta huu mjadala twitter Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard
  8. M

    Biashara ambayo hautokaa upate hasara

    Kama kweli unataka kufanikiwa anza kwa kuwekeza kwenye maarifa. Watanzania wengi akipata hela anawaza kufungua biashara. utasikia nina mil 100, mil 5 au nina 500k nifanye baishara gani? “Biggest investment you make is to invest in your head” Hakuna biashara mbaya au nzuri ishu ni kuwa na...
  9. M

    Wenye uzoefu na Jaguar (XF na XE)

    Kama title invyojielezea nataka nijichange nichukue jaguar naomba wenye uzoefu na hio gari
  10. M

    Naomba msaada nataka kuagiza gari

    Wakuuu nimejichangachanga nataka kuagiza Toyota Raumu naomba wataalam msaada wa mambo mawili 1. Naomba waliowahi kununua gari kupitia Hizi website mbili Realmotor.jp na Sbimotor.com Nimeangalia humo nimekuta Wanauza magari cheap sana ila sijasikia watanzania wakizitaja hizi website. Naomba...
  11. M

    Mwanza sehem gani napata PC nzuri kwa bei nzuri

    Wadau msaada sehem gani au duka gani wanauza PC nzuri kwaajili ya kazi za kawaida sio gaming
  12. M

    Uwekezaji gani utalipa sana Tanzania?

    Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis zangu badala ya MTU kuwekeza kwenye bond ni bora zaidi na faida kuwekeza kwenye ardhi au Real Estate...
  13. M

    Natafuta Usafiri wa jioni ya Alhamis wa Mwanza kwenda Dodoma

    Wadau mm ni mgeni nimekuja mwanza kikazi Kwa dharura nategemea kurudi Dom alhamisi jioni . Naomba ushauri naweza kupata usafiri gani jioni wa kunifikisha Dom au kama kuna MTU ana private sikuhiyo ataenda Dodoma tuchangie mafuta. Ahsanteni
  14. M

    Msaada kwenye tuta

    Kujua coding
  15. M

    Wakenya kuletewa passport mlangoni baada ya kufanya maombi mtandaoni

    Majirani zetu wameanza sisi Passport unahojiwa kama unataka kuingia Vaults ya BOT ======= PostMaster General Dan Kagwe and Immigration Director General Alexander Muteshi during the signing of an MoU on May 3, 2021. PHOTO / COURTESY By Vincent Anguche Kenyans will now have their passports...
  16. M

    Bei ya kuku wa kienyeji imekuwa juu sana

    Kuna jamaangu mmoja yupo Dar juzikati akaniuliza kuhusu bei ya kuku Dodoma.nikamwambia sijui mana mm nipo mjini ngoja niulizie watu wa vijijini. Nilivyouliza watu wa vijijini wakaniambia kuku mkubwa kabisa Tsh 7000 hadi 8000. Jamaa akaniomba nikamnunulie kuku 200 nikasema ngoja niende...
  17. M

    Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

    Wakuu habari za majukumu Nimeona Kwa takribani majuma kazaa jukwaa letu limejaa nyuzi za kujilipua namimi nikasema ngoja nijaribu kuandika chochote kuhusu kuingia USA nilichojifunza Kwa Nigeria Kwenye kitabu cha biblia kuna kisa kimoja cha watu wanaitwa "wakoma wanne" (2 wafalme 7:3-20),Kwa...
  18. M

    Mafuta ya alizeti yanapatikana

    Cheers wadau, Kwa wale ndugu zangu wanaohangaika kupata mafuta ya alizeti, tutawasaidia yanapatikana kwa uhakika na haraka zaidi. Kwa sasa madumu yaliyopo ambayo hayana oda ni 100. Tunapatikana Dodoma.
Back
Top Bottom